Kwa mwenye uzoefu au mtaalam anisaidie hili

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Her na baraka za mwaka mpya ndugu watz wenzangu,kwanza kabsa samahan kwan kutokana na kukosa uzoefu wa ku2mia jf cna hakika kama hapa n mahala pake kuleta hl swala,NAOMBA RADH KWA HL
Mm n kjan ambae nmesoma mpaka 4m4 kwa kwel matokeo yangu hayakuwa mazur lakn nlpata credt 3 ambazo nngeweza enda prvate xul.lkn kutokana na hal dun ya kuchum ckubhatka kuendelea na masom na kufanya 4m4 kuwa mwsho wa elmu yangu.
Lengo langu kubwa nilikuwa napenda kuja kusomea masuala ya computer,nlpata bhat ya kupata desk top na hvo kunrahssha at least kuijua kwa matumz madogo,nmepata sh 50000,hv sasa nataka na nnashauku ya kujua ufund ila naomba msaada wa kuambiwa kitabu ambacho naweza kukpata na nksoma mm mwenyewe nkawa nmevuka hatua ktk comp,hvo naomba anae fahamu kitabu au hata video ambayo inaweza kunsaidia,SAMAHAN CHTAJ MWL/CENTRe Kwan sna uwezo wa kugharamia ,MUNGU AWABARIKI SANA
 
Kama umepata hiyo hela tafuta chuo cha computa jirani na unapoishi ukasome watakupa ratiba ya masomo yao wewe uchague unachotaka kusomea. ila hela kafungue akaunti benk ya jirani uitunze huko. kila la heri mkuu.
 
Ahsante mamndenyi,lkn kwa sasa nahtaji kujua ufundi wa cmp ndo mana nkaomba il nkanunue hcho ktabu
 
Hii mada ulitakiwa peleka jukwaa la elimu pia ukiwa unaanda vitu epuka kutumia vifupisho mfano form unaandika 4m sio wote wanaoweka kukuelewa na hapa sio facebook.sasa ushauri wangu jaribu kusoma program ambazo zitakuwezesha kupata kazi kwa haraka kama microsoft word na excel then ukishapata pa kujishikiza unaweza endelea na program nyingine.
 
Back
Top Bottom