kuunganisha k3570z kwenye ubuntu 10.10

sokolaboro

JF-Expert Member
Dec 1, 2011
313
54
mba msaada wa kuunganisha modem yangu K 3570z ya vodafone niweze kutumia zain kama ninavyofanya katika window xp 3. Nitumie njia gani au namna gani. kwani nimesikia kwamba internet huko ubuntu ni faster.
 
Utakesha mkuu.....chamaana update iyo OS to 11.04 au 11.01....kama ikishindikana nitafute nikupe ubuntu edited version ambayo ilo tatizo limeshatatuliwa
 
Back
Top Bottom