Nisome ipi ili nitoke kibongobongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisome ipi ili nitoke kibongobongo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sanjally, Mar 4, 2012.

 1. S

  Sanjally Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf,me nimemaliza form six PCM comb,naombeni ushauri,nichukue ipi kati ya hizi COMPUTER SCIENCE,COMPUTER ENGINEERING,il nitoke kibongobongo..
  ushauri mwingine wowote kuhusiana na course za chuo zinazolipa unaruhusiwa
   
 2. j

  junior05 Senior Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama pumzi ipo soma Cisco Certified Network Associate,ukimaliza hyo na ukawa umepata above 85%,ukipenda kuendelea to CCNP sawa au kibongobongo hata ukiishia hapo tu poa
  Kazi zitakuwa zinakutafuta
   
 3. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kibongo bongo kutoka ni juhudi zako binafsi na utundu wako kwenye hizo kozi ulizosema ila inahitaji muda mwingi wa kusoma na kufanya kwa vitendo ulivyosoma so,mi nakushauri yoyote utakayochukua kati ya hizo mbili ni nzuri 2 ila inahitaji sana juhudi binafsi za m2 mwenyewe
   
 4. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,356
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  sysrem iko corrupted. haijalishi umesoma nn bongo undugu, rushwa vmetawala ni bora ukasoma akilini ukijiandaa kujiajiri. umenipata arifuu ......................
   
 5. Cyclone

  Cyclone Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fanya Computer Science dogo, Computer engineering unapoteza mwaka mzima wa bure na hauwezi kumfikia mtu wa computer science hata kidogo , he will alwayz be ahead(Kama kuna computer engineering anabisha nikutanishe naye humu JF). how to make computer science work for you bongo & arround the globe hyo ni issue ya thread nyingine kama utaamua kuanziasha, I have worked Bongo & Abroad with Computer science.

  So allthe best
   
 6. Cyclone

  Cyclone Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku ukijua Cisco ni vendor wa parts za networking, Networking amabayo ni miongoni mwa course zinavyo fundishwa kwenye Computer science, na kukupa general understanding ya OSI, TCP,connection & connectionless n.k,
  Utatoa mchango mzuri katika mada kama hizi.

   
 7. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  good advice
   
 8. d

  davycom Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  hivi unajua nini maana ya computer engineering?
   
 9. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Cyclone kuna utofauti wa computer engineering na computer science,nafikiri ungempa utofautiwake ili yy awe kwenye nafasi nzuri ya kuchagua wote tungesoma computer science watu wa kudevelop circuit wangetoka wapi?kila somo lina umuhimu wake na nafasi yake ndo maana yakawepo na kazi mnafanya sehem moja but ikifika kazi za hardware part designing ndo utaona umuhimu wa engineering coz huko ningdo unasoma deep zaidi jinsi ya kudesign na kuiprogram,inapofika soko la ajira wote mtashindana ila inategemea na sehem madhalani chukulia kwenye mitandao ya simu upande wa kudesign towers na setting zake engineers wanaplay part kubwa
   
 10. j

  junior05 Senior Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tried but not that smart,
  What you are saying can be true,keep in mind its also true how much these certification hit the market.
  Mifano hai ipo
  Ni mtazamo tu
  Mtoa mada atafanya maamuzi.
   
 11. Mathematician

  Mathematician JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2009
  Messages: 326
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wabongo hawajatambua umuhimu wa kuwa CERTIFIED. Ukizungumzia suala la kujicertify always you get criticised lakini soko ndio linahitaji hivyo. CCNA, CCNP, MCTS, MCITP etc zina mishahara mikubwa sana hasa katuka international NGOs. Friend of mine ni ICT Manager hakuwa na cha experience wala nini alikuwa na MCITP Enterprise ADministrator akawa ana get USD 3000 mwaka juzi per month. plus kila mwaka kuna nyongeza ya mishahara unafikiri yuko wapi now
   
 12. Cyclone

  Cyclone Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona umetishwa na Jina, curriculum yako ya bongo haireflect Jina hilo, so kama una urguments zaidi let me know am up 4 that, so let`s do it
   
 13. Cyclone

  Cyclone Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una mawazo mazuri lakina, kumbuka kuna course kama Telecommunication , na Electronics & Communications kama unahitaji kufanya kazi na circuits na hyo minara sasa kibongo bongo Computer Engineering ilipachikwa tu bila kuangalia nini kipo tayari, so inakuwa ngumu sana.

  Sasa mtu wa Computer engineering ili atoke ni lazima astick na upande mmoja either Telecom/electronics au Computer science ndo anaweza kutoka, na huwezi kuwa vyote.Hapo ndo point yangu ilipo kama utastic na computer science bora tu ufanye hyo tokea mwanzo, kama utapenda kufanya kazi na circuit fanya Telecom/electronics

   
 14. Cyclone

  Cyclone Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taken out of context,
  I did not nullify the importance of certifications, I answered the primary question.my point is not to substitute a computer science degree with a Cisco certificates, he or she can be certified in whichever area of choice while holding that degree. that is my point

   
 15. Cyclone

  Cyclone Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I doubt hyo NGO amabayo inaajiri inexperienced manager, hizo $$$ syo issue kabisa, folks are making 3x/mo in the software industry

   
 16. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Nafikiri suala la kuwa certified umelielezea katika hali isiyotoa picha halisi, kuna tofauti kubwa ya mtu aliye certify kama form 6 leaver na yule mwenye bachelor.
  Kijana anahitaji msingi na vizuri akianza na chochote kati ya hivyo alivyotaja baada ya hapo ndio afanye certification kulingana na interest yake au mahitaji ya wakati husika.

  Ushauri wangu: B.E in computer Science (Indian style) utapata average of the two
   
 17. j

  junior05 Senior Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu napenda niongezee hoja,

  Mtoa mada kaulizia ipi itamtoa kibongo,
  Computer science au engeering ni move nzuri,LAKINI
  Tuangalie na market inasemaje,unaweza ukawa na degree nzuri tu ya cmptr science,lakini sasa imekua au inaelekea kuwa fashion wengi wanakua nazo,hapo ndo shughuli
  Sasa ili kukutoa ni vema mfano mtoa mada kama atapenda awe certified kwa well known organization like CISCO au MSC n.k ingawaje una specilize ktk mambo hayo tu lakini kuna demand kubwa
  Believe me kuna company nyingine wanataka uwe certified na cisco tu regardless una computer science degree on not

  Nawasilisha
   
 18. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kwa option hizo mbili ningekushauri Computer Science, ninavyoelewa Computer Engineering ina Electrical Engineering ndani yake ambayo haina application Tanzania kwa upande wa Computer, nadhani hakuna kampuni inayotengeneza chips au electronics zozote za computer.

  Lakini hata hivyo kama kuna option zengine ningekushauri kutafuta Course ambayo ni more practical kwenye computer, Computer Science iko academic zaidi, ambayo ni useful kama unataka kufanya research u kuvumbua mambo mapya kwenye computer hili nalo sidhani kama lina soko Bongo. Kwa mfano CS itakufundisha jinsi Binary Tree au A/B tree zinavyofanyakazi na jinsi ya kuziandika, chance za wewe kuhitaji kuziandika ukiwa kazini ni next to zero kokote pale duniani na zaidi Bongo.

  La muhimu zaidi jaribu kufanya project zako mwenyewe nje ya darasa, hili ni rahisi zaidi kwenye software, tengeneza web App, Mobile App, Open Source App itundike GitHub kitu chochote kinachoonyesha uwezo wako, degree yoyote kati ya hizo itakusaidia CV yako kusomwa lakini sio zaidi ya hapo.
   
 19. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  tusiwe short sighted, ukishakuwa certified na cisco then what is the way forward?
  unaweza lipwa vizuri leo lakini vipi kuhusu kesho na keshokutwa, mimi ndio maana nashauri asome kozi mojawapo apate kwanza bachelor, by the time anamaliza hatuwezi jua kunaweza kuwa na certification nyingine ambayo inalipa zaidi kuliko zilizopo sasa
   
Loading...