babumufty JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 223 Reaction score 77 Mar 11, 2012 #1 Kwanini niki connect internet na line ya zantel ina kataa,wanamatatizo gn hawa
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 8,094 Reaction score 7,852 Mar 11, 2012 #2 Mbona mimi nilikuwa nikitumia mpaka hii saa kumi jioni ya leo? Labda laptop yako ina matatizo au ikiwa unatumia ttcl haziko compatible lazima moja uiondoe
Mbona mimi nilikuwa nikitumia mpaka hii saa kumi jioni ya leo? Labda laptop yako ina matatizo au ikiwa unatumia ttcl haziko compatible lazima moja uiondoe
N Nyasiro JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,201 Reaction score 551 Mar 11, 2012 #3 babumufty said: Kwanini niki connect internet na line ya zantel ina kataa,wanamatatizo gn hawa Click to expand... Kwenye kompyuta/simu na inatoa error message yoyote au inakataa kivipi?
babumufty said: Kwanini niki connect internet na line ya zantel ina kataa,wanamatatizo gn hawa Click to expand... Kwenye kompyuta/simu na inatoa error message yoyote au inakataa kivipi?