Htc 7 mozart phone msaada

Htc 7 mozart phone msaada

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,629
Reaction score
1,951
Nimejipini kwenye simu za windows HTC 7. Tatizo ninalopata ni kuwa , nikitaka kutumia Mpesa option zinakuja ila zinaishia ok. Ukiclick ok MPESA option inaondoka. I mean haiendi hatua ya mbele kusema 'Ingiza namba " etc

Kuna mwenye simu kama hii wakuu anitoe ushamba? Naomba msaada.
 
Kwa kifupi WP7 haisupport USSD menus kikamilifu, ukishadial number ya kwanza kwa mfano *141# keyboard inapotea kunakuwa hakuna jinsi ya kuingiza selection yako. So hili ni tatizo la operating system ya simu.

Kuna watu wamepata mafanikio kufanya hivi, ingiza namba zote unapodial mara ya kwanza, kama unataka kupita *141# kisha kuchagua menu item 1. andika hivi *141*1# ikikataa hiyo jaribu *141#1#
 
Hata mimi ninayo HTC lakini siyo model kama yako ina tatizo kama hilo lako.Mimi ninadhani liko kwenye baadhi ya simu za HTC na siyo model aina zote
 
hilo tatizo lipo kwenye htc zinazorun windows 7 mimi nina htc yenye android na sina tatizo hilo, labda hapo ubadilishe operating system iwe android kuna njia za kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom