Nisaidie kujifunza linux.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidie kujifunza linux..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by La Cosa Mia, Mar 5, 2012.

 1. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nategemea kujifunza linux hivi karibuni,kufanya installation na kujifunza command line...mwenye uzoefu naomba anielekeze yafuatayo:
  • Ni distribution gani na version gani rahisi kuanza nayo hasa kujifunzia command line na rahisi katika installation...
  • Natumia Sony VAIO,RAM 3GB yenye windows 7;nataka kuinstall linux bila kuondoa windows 7 ila SONY VAIO zinaletaga matatizo unapodilisha original os uliyonunulia...je kupandishia linux haitasumbua au nifanye ujanja upi...
  • Any tutorial references rahisi kufuatilia...
  • lolote ambalo unadhani ni muhimu kufahamu ....


  Shukrani...
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nina mwaka sasa toka nianze tumia Linux nimeipenda sana,sina habari tena na mambo ya VIRUS mara ooh file not compatible.
  Kinachonifurahisha zaidi ni ile one time instalation unlike window lazima uwe na OS na CD zingine kama za office package.
   
 3. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Baada ya graphical user interface kuimarika, hakuna haja ya kurudi enzi za zama za command line prompts.
   
 4. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  nipe shule kaka...unatumia distribution gani?
   
 5. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kaka nahitaji kujua hizo command nina haja nazo....
   
 6. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Mimi natumia Ubuntu 11.10, ninaipenda sana. Tena ina muonekano mzuri. Mimi ni mzoefu sana nina mwaka sasa tangu nianze kutumia ubuntu, nilianza na version 10.04. Jamaa wana muonekano mzuri sana, nakushauri utumie ubuntu 11.10, japokuwa wametoa ubuntu 12.04, inakaribiwa kuachiwa, nitaupgrade tu, maana nawakubali ubuntu ndio OS ya linux ya ukweli. Linux Mint Nayo ni mpya, ila haijaifikia ubuntu mpya. Welcome... kuwa mwanachama wa Ubuntu.

  Ila nimesiki window 8 itakuwa haina virus...
   
 7. Cyclone

  Cyclone Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unadhani ni kwanini kuna untivirus for linux? just heads up
   
 8. Cyclone

  Cyclone Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This kind of comments tells the whole story about which level of end-user you are at

   
 9. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hiyo sentensi ni kituko.
   
 10. d

  dav22 JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mi napendelea sana kutumia command line kufanya several administrative functions kwenye Linux yangu
   
 11. d

  dav22 JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nimetumia almost all versions za linux but am Contented with MINT distros ni nzuri hazistack kama Ubuntu distros
   
 12. d

  dav22 JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  infecting a LINUX machine with a virus is more hard than a windows distribution....
   
 13. d

  dav22 JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  sio kituko ni ukweli ..... na inategemea vile vile na shughuli unazofanya kwenye mashine yako kama we ni kuangalia muvi na kusoma email lazima command line utaisahau na utaembark kwenye graphical part tu
   
 14. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitakushauri kuangalia youtube videos (at least the first four) za huyu kijana raspberrypitutorials.
  napendekeza uanze na Debian GNU/Linux na kwenye hizo videos anakuelekeza jinsi ya ku'install virtual machine ambayo utaweza ku'install linux yoyote ile hapo baadae kama kujifunza au kuona tu muonekano wake.

  Pata virtual machine hapa, nadhani hapa ndio mwanzo unaohitaji kuwa na linux running alongside windows...

  Mimi nimeinstall Debian GNU/Linux kwa nia ya kuelimika kuhusu raspberrypi.org

  Down the road: Nimeshapata kuambiwa kuwa, baada ya kujua command lines zote, inabidi uwajue baba na mama yao sed & awk, kwani hizi mbili ni swiss knife utakayoitumia in a mirriad of ways, kwa hivyo, keep this in the back burner kuwa utajifunza baadae...

  Ukishapata environment yako, basi kuna materials kibao online za kujifunza hizo command lines hadi scripting and system management.

  All the best...
   
 15. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  "napendelea" ndio operative word hapo, unapenda tu, lakini ni useless. Kuna Graphical user interface, command line interface imepitwa na wakati from end user context.
   
 16. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ubuntu wameiharibu na Unity interface ndo maana watu wanakimbilia Mint.
  Na kuna vitu vingi unaweza kufanya kwenye shell ambavyo hauwezi kwenye GUI, ila ni kwa advanced users sio kwa kubrowse net na kuangalia Facebook.
   
 17. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Facebook inaangaliwa kwa ku browse nini, local hard drive? "Advanced users" wengine bana!
   
 18. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  thanx mkuu,nimepata shule hapa.....
   
 19. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tell us and what about from advanced user context ?????????.
   
 20. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anheuser,
  Hiyo conclusion yako inaonyesha kuwa labda hujui unachosema au you just ignorant.
  Search hapa hapa JF solutions to common problems ambazo watu wanauliza, mfano: USB yangu haionekani kwenye windows... na najua jibu litahitaji kupekua command line interface kuweza kufanya troubleshooting, na conclusion sana sana huwa, "I wish I knew how to use command line". Hata kwa end user hii knowledge inahitajika na kusema is useless inaonyesha kuwa labda bado mchanga sana kwenye ukumbi wa IT au pengine umekubali tu kuwa end user.
   
Loading...