Je?electrical engineering ni nzuri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je?electrical engineering ni nzuri?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by dottoz, Mar 10, 2012.

 1. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Nisaidieni jaman kwa hilo.
   
 2. Cyclone

  Cyclone Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungetoa maelezo kwa kina kidogo,kwamba una malengo gani , then wadau wenye uelewa na Electrical Engineering watakusaidia kwa kuangalia malengo yako na eperince yao kwenye industry
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Katika lipi electrical engineering unaona inafaa? Maana mimi kwa mtazamo wangu mdogo, engineering ya nchi kama Tanzania inahitaji kila aina ya watu ila wawe wabunifu. Sio wasoma madesa
   
 4. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Mie nahtaj mtu yeyote anayeijua vizuri electrical engineering anielekeze inakueje?maana ndo nayo taka niisomee,sasa nilikuwa nauliza je ni nzuri na inafaa katka sector mbalimbali nchn tanzania?.
   
Loading...