Nifanyeje wanaJF simu TECNO T20(mchna) inaganda mara baada ya kuiwasha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje wanaJF simu TECNO T20(mchna) inaganda mara baada ya kuiwasha

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by danmarc, Mar 9, 2012.

 1. danmarc

  danmarc JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Ni kama wiki 3 zimepita tangu nilponunua hii sim tecno T20 (MPYA) ndipo imeanza kuganda. unapoiwasha neno tecno linatokea kama kawaida kisha linafuatia picha mwisho neno tecno linatokea tena hapo ndipo inaganda baada ya mda kioo kinajizima lakin button zinaendelea kuwaka ,muda mwingine inaandika storage not ready unaweza subir hata siku nzima bila mafanikio ,nimejaribu kuondoa line zote/kuweka line moja na kuiwasha lakin wap .nisaidien tatizo ni nini na solution ya tatizo ni ipi? ni wiki sasa tangu tatzo lilipoanza
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  mkuu hiyo ni hasara kamili...fanya kama ulidondosha wallet mtaa wa kongo
   
 3. danmarc

  danmarc JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Lakini mbona nilikuwa naitumia?
   
 4. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  i hate chinese phones, better nitumie kitochi samsung ama nokia , kuliko china products
   
 5. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Simu za kichina ni matatizo ndg yangu jipange ununue simu ya ukweli
   
 6. g

  gomer Senior Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 109
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kama uko Dar Tz, nenda kariakoo msimbazi, eneo enzi hizo mabasi ya kwenda kusini yalikuwa yana paki, sasa opposite na ttcl kariakoo. Ulizia service centre ya Tecno. Wana service poa.
  Nina simu ya tecno niliidondosha ikapasuka kwa kioo ndani waka fix bila malipo!
  Hiyo simu si ina waranti ya miezi 12 + 1 ????
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,119
  Trophy Points: 280
  usisikilize watu wanaochonga uskate tamaa. Ingekua ni nokia original ungeingiza new firmware tu ingekaa vizuri. Cha msingi google angalia kama simu yako ina operating systeem gan na kama kuna uwezekano wa kui update.

  Then alternative flash hio simu
   
 8. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama mimi.
   
Loading...