Star tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star tv

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by samilakadunda, Mar 10, 2012.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  nipo morogoro sipati star TV kwa mda wa miezi miwili sasa,nashindwa kuelewa nitatizo langu tu? au nitatizo la wanamorogoro wote??nisaidieni niweze ungana na uzinduzi wa kampeni za wana CDM huko ARUSHA
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,363
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Mimi niko kanda ya magharibi inapatika,nadhani ngoja waje watu wahapo ulipo. Utaupata ukweli kama nikwako au mkoa wote.
   
 3. araway

  araway JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mkuu namimi nipo moro nazani ni miezi mitatu sasa siipati sta tv na itv
   
 4. m

  mtamba Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  yahaya wa star tv wasaidieni watu wa moro wapate matangazo
   
 5. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Umechelewa ku-report, tutalifanyia kazi hili tatizo lakini inachukua kama masaa 72, hivyo hutaweza kuona uzinduzi wa Kampeni za Chadema.
  Tutajitahidi kufanya kila liwezekanalo uone uzinduzi wa kampeni za CCM (kama watazindua kweli) na vyama vingine.

  Asanteni na poleni kwa usumbufu.
   
 6. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  pole kaka ila itv inapatikana ,nikweli iakipotea ila ilirudi kama wiki mbili hivi
   
 7. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Poleni wana Moro.
   
 8. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ww acha upuuzi ! mimi naumwa jino wewe wanitibu mguu
   
 9. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yupo kazini anatumia vizuri bundles alizolipiwa
   
 10. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  bora wewe huku mbeya sipati tv za kibongo kasoro channel ten ndio inashika.
   
 11. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  star tv walibadirisha simborete na wewe itabidi ubadili kwenye risiva yako weka namba hizi fr 3886vsr4900 ukishindwa ni pm nipo hapa kasoro meli
   
 12. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwakweli chaneli karibu zote za Tz ambazo ziko kwenye hii sateliti ya intelsat 906 @ 64e zinapatikana kwa shida kupitia dish la futi 6 TBC kidogo ina nafuu sijui tatizo hili liko kwenye sat au uplink za tv zetu.
   
 13. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  tatizo ni mpunga makampuni yetu mengi wamenunua bandwisi chache sio sat wala uplink frengwens ya imani tv ni 3780v1666 elimu bila mipaka
   
Loading...