madini ya dhahabu yanafaida gani hapa tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

madini ya dhahabu yanafaida gani hapa tz?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Slave, Mar 11, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ninachotambua tanzania ni nchi yenye madini aina nyingi,hasa dhahabu.inawezekana yanasamani sana ndio maana yana bei kubwa. Swali hivi tofauti na kutengenezea vito kuna nini kingine kinachotengenezwa kwa dhahabu hapa tz mpaka ifikie hatua ya wa tz kusema wanaibiwa dhahabu na wazungu?wazungu pia wakiamua kutuchimbia hayo madini na kutupatia sisi tutayanyia nini?
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  kazi ya dhahabu ni decoration, na ujue yasipoibwa nchi itapata capital kubwa ambayo itatumika kufanya miradi mbalimbali ya maendeleo (pasipo na ufisadi)

  Mfano ngoja nkwambiw: kule marekani kuna mafundi garage ambao naamini tanzania wapo kama wale kazi zao wao wananunu magari ya german na japan then wana mode body za gari wanadecorate na madini kama dhahabu then uliza sasa bei ya hilo gari. Unakuta gari ya milion 50 after mode inakuwa milion 300 hadi 500.

  nafkiri still madini ni muhimu kwa uchumi wa nchi hata yaweje
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Madini yana some industrial applications kwa mfano dhahabu na platinum zinatumika kwenye electronics, uki recycle tani moja ya simu utapata 280 grams za gold, 140 grams za platinum na palladium, na 140 kilo za copper.

  Pia almasi ina industrial application kwenye kutengeneza drills kwa sababu ya ugumu wake.

  Lakini thamani kubwa ya haya madini inatokana na binadamu kuamini kuwa yana thamani, kwa kifupi binadamu tunapenda vitu vinavyong'aa na tunaviona kuwa vinavutia, so demand yake ni kubwa kuliko supply hili linapandisha thamani yake. Pia DeBeers walibana supply ya almasi kutengeneza artificial shortage ili iwe na thamani zaidi.

  Pia kwa upande wa almasi kuna marketing ya nguvu iliyofanywa na DeBeers ya South Africa kufanya Almasi ionekane ina thamani na kuyaunganisha na upendo na ndoa, kabla ya marketing hiyo kulikuwa hakuna culture kubwa ya kununuliana vitu vya almasi kwa wapendanao.

  So kwa kifupi tungechimba na kuyauza wenyewe haya madini tungepata pato kubwa zaidi ila limetushinda hilo, kama mengine mengi yalivyotushinda.
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  shukran nyingi kwa ufafanuzi mzuri.nahisi kabisa nimepumua kutokana na jibu zuri.
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ila kwa Watanzania hakuna Faida yoyote...
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yana faida kubwa we muulize ma-mountain si umeona milion 7 anaita vijipesa!
   
 7. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  nataka kucheka ila naogopa post itapelekwa jukwaa la joke.ngoja nichekee ndani kwa ndani.
   
Loading...