Jamani naombeni msaada jinsi ya kuweza ku access internet kwenye blackberry kama wenye mobile phones za kawaida, e.g bundles za mb 50(Voda) au mb400(Airtel) for Tsh 2,000 and 2,500 respectively...
Habarin za leo wana jamv! Naomben msaada juu ya hii sm yangu ya NokiaN72, inapokea message mfululizo zinazosomeka "salio lako halitoshi", ukiziacha zinafika hadi 1000, na ukiweka vocha inaisha...
ninachotambua tanzania ni nchi yenye madini aina nyingi,hasa dhahabu.inawezekana yanasamani sana ndio maana yana bei kubwa. Swali hivi tofauti na kutengenezea vito kuna nini kingine...
Nimejipini kwenye simu za windows HTC 7. Tatizo ninalopata ni kuwa , nikitaka kutumia Mpesa option zinakuja ila zinaishia ok. Ukiclick ok MPESA option inaondoka. I mean haiendi hatua ya mbele...
Nategemea kujifunza linux hivi karibuni,kufanya installation na kujifunza command line...mwenye uzoefu naomba anielekeze yafuatayo:
Ni distribution gani na version gani rahisi kuanza nayo hasa...
Daily nashinda net kwa ajili ya kusoma forums mbalimbali zitakazoniwezesha kuccm (chaka chua modem) yangu huawei 153u-2 lakini cpati kabisa.Vp wadau kuna aliyefanikiwa?
This is a 250GB ps3 with a wireless dual-shock3 controller, It comes with 5 to 10 games of your choice on the list provided below for a price of $400(690,000Tsh) only.
Need For Speed Hot...
Laptop overheating?
Laptop Overheating Issues:
Does your laptop shutdown at random? Does it slow down during heavy operations? Do you need to wait 10 min. before you can start it up...
Habari wana jf,me nimemaliza form six PCM comb,naombeni ushauri,nichukue ipi kati ya hizi COMPUTER SCIENCE,COMPUTER ENGINEERING,il nitoke kibongobongo..
ushauri mwingine wowote kuhusiana na...
Ni kama wiki 3 zimepita tangu nilponunua hii sim tecno T20 (MPYA) ndipo imeanza kuganda. unapoiwasha neno tecno linatokea kama kawaida kisha linafuatia picha mwisho neno tecno linatokea tena hapo...
nipo morogoro sipati star TV kwa mda wa miezi miwili sasa,nashindwa kuelewa nitatizo langu tu? au nitatizo la wanamorogoro wote??nisaidieni niweze ungana na uzinduzi wa kampeni za wana CDM huko ARUSHA
Wana JF habari za asubuhi,
Tafadhali naomba msaada, hivi inawezekana ku install free TV chanels zingine kama ITV and the like kwenye decoder ya DSTV? mimik huwa nalipia DSTV Compact plus lakini...
mba msaada wa kuunganisha modem yangu K 3570z ya vodafone niweze kutumia zain kama ninavyofanya katika window xp 3. Nitumie njia gani au namna gani. kwani nimesikia kwamba internet huko ubuntu ni...