Engineers performancies

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Mkuu wa chuo cha Mafunzo ya ufundi stadi (VETA) Chang'ombe amesema kuwa vijana waliopitia VETA baadaye wakaenda University kuchukua engineering wana-perform better compared to direct form six entrants engineering graduates na viwanda vinawahitaji zaidi kuliko hao direct form six entrants. Ma-engineers mnasemaje?
Source: Jambo Tanzania, TBS asubuhi ya Leo
 
inawezekana sababu anakuwa amevianzia tokea mwanzo tofauti na wanafunzi waliotokea sekondari...
 
Unaweza kuta hata huyo mkuu wa chuo cha mafunzo ameanzia huko au bado anasifa za kiveta,unafikiri atacoment nini. Sifa kubwa ya watu wa VETA hawana engineering knowledge.
 
Hivi mtu anaweza kutoka VETA akaenda University au ni kwa wale wanaotokea Technical colleges...am just asking!.

Wanafunzi wa VETA wengine wanakuwa form six leavers ambao baadaye wanaamua kujiendeleza kwenda University. You might be right most probably ni technical colleges ambao wanaanzia veta, then technical colleges. Yeye alisema wanafunzi walioanzia veta then up to university
 
Personally, nilianza IFUNDA TECH SCHOOL, THEN MBEYA TECH COLLEGE and last FoE pale UDSM. Hawa wa VETA, generally, kwenye hesabu wanakuwa si wazuri sana ukilinganisha na hiyo sequence niliyoitaja hapo juu. kwa ujumla wanaanza wa tech scool, tech college and BSC eng, halafu wanafuata hao wanaoanzia veta and last wa kutoka six. All in ALL personal passion kwenye nyanga unasokata itakufanya uwe OK kwenye nyanga hizo.
 
Unaweza kuta hata huyo mkuu wa chuo cha mafunzo ameanzia huko au bado anasifa za kiveta,unafikiri atacoment nini. Sifa kubwa ya watu wa VETA hawana engineering knowledge.
unasema kweli mkuu huyo mkuu wa chuo cha veta hana sifa kabisa za kuongoza chuo amepewa kwa fadhira tu, elimu yake ni ya utata mtupu
 
Wanafunzi wa VETA wengine wanakuwa form six leavers ambao baadaye wanaamua kujiendeleza kwenda University. You might be right most probably ni technical colleges ambao wanaanzia veta, then technical colleges. Yeye alisema wanafunzi walioanzia veta then up to university

Kwa utaratibu uliokuwepo sasahivi, mhitimu wa VETA hawezi kujoin technical colleges kwa credential za VETA, labda kwa kupitia mature age entry ambayo has nothing to do with veta credentials.

Ni nadra sana kumkuta mhitimu wa form six akienda kusoma veta, lakini katika wachache ni wale waliofeli kabisa (waliopata zero) ambao hawawezi kujoin technical college/university, kwahiyo hulazimika kwenda veta kujipatia taaluma fulani na baadae hujiunga technical college kusoma diploma then wanaweza kwenda kusoma degree.
 
Personally, nilianza IFUNDA TECH SCHOOL, THEN MBEYA TECH COLLEGE and last FoE pale UDSM. Hawa wa VETA, generally, kwenye hesabu wanakuwa si wazuri sana ukilinganisha na hiyo sequence niliyoitaja hapo juu. kwa ujumla wanaanza wa tech scool, tech college and BSC eng, halafu wanafuata hao wanaoanzia veta and last wa kutoka six. All in ALL personal passion kwenye nyanga unasokata itakufanya uwe OK kwenye nyanga hizo.
Unachosema hakina ukweli wowote ndani yake labda ni kutaka kudiscourage watu wanaotaka kuingia advance then university, ki ukweli mtu akipita advance akachukua PCM then engineering yoyote nyie wa tech hamwezi kumfikia hata kidogo labda awe mwenyewe ndo mbovu tu, kwanza watu kutoka Advance akili zao zinachemka balaa, niliona hata mtihani mnayopewa ni simple kinoma,, Advance - University ndio route moja ambayo ndio the best. kawaida tu kupondea vitu vikubwa
 
Nadhani inaweza kusababishwa na practical experience, naamini ukifanya vitu practically unapata uwezo fulani wa kutatua matatizo yanayojitokeza papo kwa hapo tofauti na "kujua" kutokana na kitabu lakini procedure ikipinda in real life unakosa creativity ya kulitatua tatizo.
 
Nashangaa watu mnabishana kwa vitu ambavyo havina maana kwa jamii.Hivi kinacho mata ni jinsi ya mtu alivyopata elimu au anavyoitumia elimu kujikwamua kimaendeleo?Anaweza akawa amepitia Veta lakini kumkichwa yupo safi na akawa na uwezo wa wa kukitumia kile alichopata.

Halafu mtu mwingine katoka tech school akaenda tech college na akapanda mlimani lakini kila sehemu alikuwa akipita njia za panya unafikiri atakuwa safi kiutendaji?

NOTE:Nawashauri watanzania tuongeze ubunifu wa kuzisaka, sio majungu ya yule kasoma wapi mara vile,heshima ya mtu ni pale watoto wako na jamii inayokuzunguka kunufaika na elimu yako iwe umeipata UPE,MEMUKWAau MMEMUKWA.
Ila usiwe fisadi ni hayo tu,mtazamo tu nsijenge chuki.
 
inawezekana sababu anakuwa amevianzia tokea mwanzo tofauti na wanafunzi waliotokea sekondari...

Ni kweli kabisa maana mtu huyu ameshaanza kujifunza basic engineering concepts ambazo zinaendelea kuongezewa kasi jinsi anavyopanda madaraja ya elimu. Sasa mtu wa form six hakuwa anajifunza engineering moja kwa moja ila masomo ya science...itachukua muda kuunganisha mambo na kufikia malengo...ila kila kitu kinawezekana kama nia na malengo yapo.
Mtihani ni kuwa kwa elimu ya Tanzania, mtu wa VETA akaenda mpaka chuo, huyo lazima awe kijogoo kweli kweli
 
Hv kwa aliye VETA akipga GPA nzuri sana katka mambo ya ELECTRICAL vp anaweza kwenda chuo chochote ama kuajiriwa inakuwa rahc sana?
 
Back
Top Bottom