samsung GT B5512

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
kuna mdau yeyote amewahi onja ladha ya hii simu (samsung GT B5512). Nimesoma sifa zake kwa kweli imenivutia sana. Hapa TZ imeshafika.? if yes naomba nipewe mwongozo ni wapi naweza ipata.
 
Hiyo simu ni nzuri tu sana battery life iko bomba ina front cammera ipo poa ni line mbili skype imeshindwa ku detect front camera ila kwa fring iko bomba,

Nimeinunua mwanza bei sio mbaya just 300,000
 
Nisingekushauri kwa sababu ya size na orientation ya screen yake, utapata tabu na baadhi ya apps za Android, kwa vile screen size hiyo ni unusual sana kwenye ulimwengu wa Android, developers wengi hawaizingatii wakati wa kutengeneza Apps.
 
@kang ukiachilia mbali screen size. je kuna kitu kingine kibaya about this 4n.? i.e display, video playing, surfing, power consumption e.t.c na wapi naweza ipata kwa dar na ni kwa sh ngapi.? nimependa sana feature Za hiii simu.
 
hiyo phone iko poa ina trackpad sensor screen ni touch alafu ina qwerty keyboard aplication zinafanya vizuri tu mbona kama ikiwa aplication inaitaji screen potrait inafungua mojakwamoja una ilotate simu kawaida tu.
 
Back
Top Bottom