Hii imekaaje kwenye flat screen tv? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje kwenye flat screen tv?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MBUTAIYO, Mar 19, 2012.

 1. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  ​Wana JF,
  Naomba msaada wa wataalam wa picha na TV.
  Kuna kitu kwenye picha kinaitwa "aspect ratio", hii ni ratio ya urefu na upana wa picha ili picha ionekane katika uhalisia wake.Katika TV za kizamani (mitungi) hili linadhihirika na picha iliyorushwa inaonekana katika uhalisia wake, lakini katika TV za kisasa (flat screen) picha inaonekana bapa, yaani urefu unapungua na upana unazidi. Hii imenifanya nisinunue flat screen na siku zote natumia mtungi.
  Naomba mnijuze kwamba flat screen ndivyo zilivyo au ninaweza kupata iliyo na ratio sahihi?
   
 2. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Unaweza ku-adjust kwny TV yako ikawa size yeyote utakayo. Depends on your flat screen (if its SONY, Samsung etc) but generally follow:

  Adjust your aspect ratio - Get the best picture from your flat-panel display - Weekend Project - CNET Reviews

  Aspect ratio (image) - Wikipedia, the free encyclopedia

  Widescreen-o-Rama! All About Aspect Ratios
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Pia ni muhimu kufahamu chanzo (source) ya midia unayotaka kutazama. Mf. Filamu (naamanisha filamu sio video) nyingi zinakuwa na aspect ratio ya 16:9, wakati matangazo ya TV hapa kwetu bado yapo katika 4:3
   
 4. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
 5. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Ahsante sana kwa hiyo shule, ngoja nitayaona.
   
 6. PRISCUS JR

  PRISCUS JR JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Sawa utafanya yote lakini ukweli utabaki palepale, ubora wa picha ama video ya tube tv uko juu kuzidi LCD tv, mi hata niwe na mamilioni siwezi nunua flat tv ie LCD, zoezi dogo chukua old sony wega flatron linganisha na hii misony yao mipya utakubaliana na mimi, ukizingatia wengi wanatumia av cable kusafirisha picha kutoka vyanzo kama VHS na DVD PLAYER. ukitumia HDMI cable angalau kidogo ubora unakaribiana. ndio LCD zinamanage space lakini very delicate. nashauri ni bora ununue king'amuzi uunge tube tv.
   
 7. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Are u blind??? Ushawahi kuangalia BLURAY movie kwenye LCD tv katika 1080p HD?? Ushawahi kusoma maandishi madogo kwenye tv ya kawaida alongside LCD tv?? Ushawahi kulinganisha picha side by side ya tv hzo mbili uone color reproduction??
   
 8. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145

  Kama sikuelewi vile...wewe si umesema huna tv ya Flat Screen? (hapo kwenye maandishi ya Blue) hayo mavitu ya kisasa utayaangalizia wapi? au ni kwenye mtungi?
   
Loading...