Nime install "Linux Mint" kwenye pc, nashindwa kuinstall usb modem ya tigo. naomba shule wataalam.
kama haitofanya kazi basi unaitaji kutumia program fulani ya ubuntu fuata maelezeko hapa How to make Vodafone K3571 or Tigo E153 modem to work in Ubuntu ~ TECHINTZ
Mkuu google kwa sana...ubarikiwe sana mkuu.
jengine vipi ku-install software za "exe". kuna utaratibu gani?
ubarikiwe sana mkuu.
jengine vipi ku-install software za "exe". kuna utaratibu gani?