Makala hii ni kama movie. Jinsi Lulzsec walivyofanya mambo na hatimaye wahusika mmoja baada ya wmingine kukamatwa. Kiongozi wao Mkuu kwa jina la "sabu" ndio aliwanasisha wote. From a hacker to a...
yan nashindwa hata kuamini! facebook imemgeuza rafiki yangu amekua "zombie" yan anaamka na facebook, anacheka na facebook, na kula nayo. nadhani hata anaota facebook! nimejaribu kuchunguza naona...
Kwa wale ambao mlikua mnatumia your freedom then ikafika kipindi ikawa inabania speed kuna njia nyingine go to this site download appliccation yao inaitwa cproxy then create an account by using...
Simu yangu ni Nokia 6303 classic nlikuwa natumia Opera mini 6.5 lakini kwa sasa imegoma, haifunguki yaani ime'collapse'. Nifanyeje niweze kuirekebisha?
The new iPad is here. Apple unveiled a new version of its hit tablet on Wednesday, adding more power, an optional 4G Internet connection, and a supersharp HD display, but keeping the overall look...
nimejaribu kutafuta kwenye net nasikia kuna software inakuwa installed kwenye laptop kama security,hiyo laptop kama itaibiwa unaweza kujua iko mitaa gani,tumeibiwa laptop karibu saba ndani ya...
How many times have you been at home and realized you're running late for something going to work, taking the kids to school or any other appointment you need to get to. Of course, it's on these...
WADAU,
natumia computer DELL VOSTRO, toka ninunue haijawahi kunisumbua but kuanzia jana ninapoenda upande wa internet na kufungua web yoyote ina load na kukubali mpaka inaleta homepage, ikifika...
Hard work pays...finaly m now accessing internet free cnc morning by using the loophole in airtel network the whole day m surfing and dowloading music & videos in utube and programs wz out even...
Wadau kwenye frige hapa nyumbani tunatumia makopo ya maji ya kawaida haya ya lita moja na nusu ndio huwa tunahifadhia maji lakini kadri siku zinavyoenda makopo mengi huwa yanabadilika na kuwa na...
niaje wakuu? leo nawaletea hii software ambayo inakuwezesha kulogin kwenye laptop yako kwakutumia sura yako kama password. its so fun and I realy enjoy it kutumia my own face kama password.
Natafuta professional and very creative webdesigner kwa ajili ya baadhi project zetu, siyo lazima iwe kampuni hata mtu binafsi anaweza kufanya project hizi.
MSISITIZO:-
Kawa wewe ni...
nimejaribu ku update iphone to hiyo iOS 5.0.1 ime download for hours then ikaniambiia imefail then kuna applications
zimegoma kufanya kazi baada ya mimi kujaribu hivyo , facebook, skysports...
Tired of game stucks in your pc/laptop? tumia hii game booster uweze kuplay vizuri games. click the link,wait for 10secs then click skip the add. Enjoy: Download Game Booster 2.3 Premium.rar from...
Wapendwa wote naombeni kuuliza kwa nini ninapochagua option ya 'hide caller ID' sipati access kwenye mtandao au wenye mali wanazuia?au hawaoni umuhimu wake nakumbuka zamani hii option ilikuwa...
Nahitaji kutengeneza website kwa kutumia drupal cms. Nimesoma tutorials za Drupal essentil training za Lynda ila bado nashindwa kuimudu hasa ktk block and pages customization. Naomba msaada ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.