MSAADA iPhone 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA iPhone 4

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by OSAM, Mar 19, 2012.

 1. OSAM

  OSAM Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau naombe iso inayoruhusu kutumi line zetu kwenye iphone 4 au namna ya kufanya cofiguration ili ikubali kusoma network zetu.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hujasomeka vizuri, unamaana simu yako ipo locked kwa mtandao fulani wa nje? na ukiweka sim card zetu za kibongo inakuwaje?
   
 3. OSAM

  OSAM Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukiweka line inadetect tu kuwa kuna line lakini haitambui network nilijaribu kuuliza voda nikaambiwa mpaka niiflash nikajaribu kucheki kwa wahindi fulani wakaniambia niwaachie model ya simu nirudi baada ya siku kumi nimejaribu kucheki online forums nimeona kuna namna fulani but ya kurestore but up to now ninaendelea kudownload ISO ya hiyo store na haijamaliza kama kuna njia rahisi naombeni msaada wadau.
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
 5. i411

  i411 JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Just update to the latest firmware 5.1 kama haipo locked itakuwa super hata kama hauna plenty of internet unaweza kwenda pale mlimani city kabda hujafika duka la tigo huku mwanzoni kunamtu anabrodicast free wifi ya kumwaga na nifast. hata huitaji kugogwa na wahindi bei za kutupa
   
Loading...