Naomba mnisaidie jinsi kubadilisha dc(direct current) to ac(altanative current)

Naomba mnisaidie jinsi kubadilisha dc(direct current) to ac(altanative current)

Joined
Feb 23, 2012
Posts
15
Reaction score
1
Nataka nipate ujuzi wa kutengeneza inverter hivyo bas nisaidieni kubadili dc to ac najua watalamu mpo
 
Umeomba swala gumu kiasi fulani kwa sababu 1. Hatujui una ujuzi/ uzoefu kiasi gani 2. Hujaeleza uwezo (capacity) ya inverter unayoitaka.

Hapa nakupa mfano mmoja wa diagram ya inverter. Component utakazotumia ndizo zitakupa capacity ya inverter.
Tahadhari: uangalifu mkubwa na uhakika wa capacity yako unahitajika, bila hivyo unaweza kuhatarisha maisha yako na ya wenzako.
DC-to-AC-with-IC-300x180.gif
 
Back
Top Bottom