Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Yani haionekani hata nikichomeka ktk pc! Ila mwanzo ilionekana network ikawa tatizo,nikaichomoa bila kufata utaratibu baada ya kuwa imekaa muda bila kuonyesha network! Msaada pls!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF! Mimi nina laptop aina ya dell aina ya insprion d5010, ina 320 gb hdd, 3gb ram na ni 64 bits, nimejaribu kudownload webcam ya hiyo dell nimeshindwa. Naomba mnisaidie niweze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba nifahamishwe jinsi ya kuifanya ZTE modem ya airtel iwe inatumia laini zote
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina LAPTOP HP NC6120 nahitaji msaada wa sound drivers
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada mwenye kujua application nitakayoweza ku -install kwenye android yangu ili kupata internet connection kupitia CDMA moderm. Kwenye PC tuna Mobile partner je kwenye android ni...
0 Reactions
3 Replies
904 Views
This company has limited lines which few cutomers uses yet they don't attend to faults occurs, you haven't exeperienced loss of customers yet, so as you can run for them to serve? In Kunduchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada mwenye kujua application nitakayoweza ku -install kwenye android yangu ili kupata internet connection kupitia CDMA moderm. Kwenye PC tuna Mobile partner je kwenye android ni...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Wana jamvi naomba msaada wenu, nahitaji kutumia modem yangu ya tigo (zile za zamani) au voda zte k3571 katika kuunganisha internet ili niitumie kwenye linux, nifanyeje, nisaidieni,
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni msaada Simu yangu ni NOKIA C3 na itatumia OVI NOKia SUITe ili kuitumia Kama Modem lakini kila nikiconnect kwenye NOKia SUITE application ili niitumie kama Modem Inakaataa msaada jamani!!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni jinsi gani ninaweza ku embed .pdf document katika windows.Form page?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna uwezekano wa kurudisha data nlizofuta kwenye recycle!
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Niliandika title afu pale chini sehem ya msg nikaatach picha katika kupost ikaja msg kuwa your msg is too short you should add six character nikajaribu kuongeza neno kwenye title still ikawa bado...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama unataka kupima kiasi cha bandle uliyonunua unatumia yote, download software ya kupimia airtel tigo wanapiga panga mbaya, download broadband monitor.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKUU aslamalaykum, Bwana Yesu asifiwe?.Wakuu nina laptop aina ya SIEMENS AG,Model-SIMATIC Field PG M2.Laptop hii inamatatizo ya Drivers sita; 1.Network controller 2.Ethernet controller 3.SM...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
BS10A5-77F716-F0730D HII hawakupi limitation ya mda
0 Reactions
0 Replies
855 Views
BS10A5-77F716-F0730D HII hawakupi limitation ya mda
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Wataalam naomba msaada kama hii kitu inawezekana au la. Nina samsung T 929 Nilikuwa nahitaji kusikiliza redio za hapa bongo(free) ila nahisi software haipo, kama kuna jinsi yeyote ya kuweza...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Vp wazee, bila shaka mpo powa. Kwa wale wapenda soka (na michezo mingine pia na vipindi vingine), kama una internet ya uhakika (kama yangu) unaweza pata soka ( UK Premier League, La Liga...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
On the heels of a study by Apple released Friday saying that it had “created or supported” 514,000 American jobs, a report commissioned by Microsoft and IDC predicts that cloud computing services...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Kwa wale wapenzi wa Moviez za nje wanaopenda KuDOWNLOAD kupitia TORRENT SITE Mbalimbali. Vifuatavyo ni vipufupisho vya majina yanayoandikwa mwisho ya majina ya movies kuonyesha ubora wa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom