How to Download with BitTorrent client Using a Proxy

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,396
baada ya watu kibao kushindwa kudownload torrent kupitia clients eg bitcommet na zinginezo, nikaona si vibaya kuwapa ujuzi niliopata katika pitapita zangu kuhusu jinsi ya kudownload torrent na client. fuata hatua zifuatazo.

1. tafuta anwani ya Proxy Server

unaweza kupata hapa list ya proxies kibao. ila mimi hupendelea ile ya circle of brain.

.


2. Fungua program unayotumia ya bittorrent

mimi natumia uTorrent. nenda kwenye options > preferences > connection.

.
3. ingiza anwani ya Proxy Server

kwenye “Proxy Server” chagua “HTTP”, kisha ingiza IP address ya proxy server uliyochagua sehemu ya “Proxy.” kisha ingiza zile tarakimu baada ya ":" sehemu walipoandika “Port” option.


mfano kwenye picha: anwani ya proxy server niliyochagua ni 112.65.135.54:8080.

.

4. Bofya “Ok”

Simple , bofya ok, hapo itakuwa tayari kupokea torrent files

.

mimi imefanya kazi vizuri mpaka sasa natumia :cool2:..........

enjoy na usisahau kuleta feedback
 
Thanks!Ila kwa speed niionayo hapo kwako mbona utakesha kuipata hiyo series unayodownload mkuu!!!
---Believdat---
 
Unatakia utueleze unatumia mtandao gani? halafu kingine proxy huwa hazina shida kama unazitumia kwa hali ya kawaida ila problem inakuja when it comes to free internet ya 0.facebook.com
 
Unajua mkuu when it comes to the proxies, na kudownload torrents ni very tricky and may be not possible at all, so em jaribu kuelezea kwa utaratibu mzuri ili tuweze kuelewa vizuri kabisa coz najua kua ni tatizo hlo kubwa sana tuu.

:thinking:
 
mkuu nimepata idea hivi hatuwezi kuifanya router iwe 0.facebook.com halafu tuweke port ya router hiyo hiyo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom