how to unlock phone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

how to unlock phone

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mpangwa1, Mar 27, 2010.

 1. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeletewa simu (nokia 6303) na jamaa yangu toka UK iko locked kwenye mtandao wa t-mobile nimejaribu mafundi kadha hapa Dar wanambia hawajui code yake. Msaada jamani wapi naweza kuifungua.
   
 2. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jaribu hiyo ya kwanza ikishibndika ndio ingia hiyo yapi lakini naimani hii itafunguwa

  ukishindwa njoo unitafute Mtaa wa Mchambawima Umarufu wangu naitwa Faki

  (1)http://unlock.nokiafree.org/

  (2)http://www.unlockmobilephone.co.uk/unlock+code+for+nokia+6303
   
 3. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Poa nashukuru mkuu
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Site nyingine ni
  http://www.unlock.it/nokia
  http://www.lur.nu

  CAUTION
  Maximum trial za ku unlock simu za Nokia kwa code ni 5. ukijaribu unsucessful simu inakuwa hard locked. Ikiwa hivyo then unlocking ni mpaka ifanyike kwa DATA cable kwenye kwa mafundi. kwa kuwa nokia ni band kubwa hata dar wamejaa so ni vizuri kujaribu free.
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  jaribu kuingiza hizi five digit 12345, simu nyingi za nokia zinakuwa unblocked na hizo namba
   
 6. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #6
  Mar 27, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du. simu ya ukweli hiyo!
   
 7. B

  Babuu Senior Member

  #7
  Mar 28, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wakuu na ku-unlock datacard je? Zile internet modems kama za voda, zain, nk ili niweze kutumia kwa mitandao yote.
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu hizo ni security code na yy anaongelea sp-code so aziwezi kusaidia kitu kabisa
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu cm inafunguka kabisa hao ulokutana nao uenda awajui walifanyalo kama ni new generation sl3 itakuwa gharama zaidi
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  unaweza kunipm kwa msaada zaidi
   
 11. s

  salviya Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kupata kanuni kufungua kwa ajili ya simu yako kutoka http://www.onlinegsmunlock.com/ Hii ni online huduma ambayo kutoa huduma kwa ajili ya mobile.You yako inawezakutumia na kufungua simu yako kwa urahisi..
   
Loading...