HP Deskjet Printer (F4280) for sale @ 150,000

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Nauza HP DeskJet Printer (model no F4280), hii printer+Scanner+Copier imetumika kidogo sana, iko katika box lake halisi, ina cd zake zote, na connection cables zote... Ina wino mmoja wa rangi, mweusi haupo...ilinunuliwa UK, na imetumika Mara chache sana, yaani wino mweusi ulipoisha na kazi ya printer ikawa imeisha.
Bei ni Sh Laki moja na nusu tu (150,000)... Bei hii haipungui...
Kwa maelezo zaidi au mawasiliano, tafadhali piga 0714881500.
Printer ipo Dar es salaam.
Kwa picha na specs, tafadhali google model no... Natumia simu ambayo haina camera kupost tangazo hili.
 
maana naona umesema haijatumika muda mrefu pia muda gani?

vizuri mkieleza msaidie watu kuelewa na kutomaliza credit ya simu kuulizia haya yote.

haya mie siitaji nauliza tu ukijibu basi utakuwa muuzaji kweli na msema kweli.
 
Ilinunuliwa mwaka 2009 mwishoni, nimeitumia wakati nafanya dissertation tu. Baada ya hapo nikaifuingia kwenye box lake na kiuweka kando. Kifupi niliprint rim moja tu ya karatasi 800, nimescan docs chache sana, na ina software ya kuconvert scanned docs to pdf, jpeg etc...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom