Kama zina wireless unaweza kutengeneza adhock network hii ni temporary na inapotea mtu mmoja aki disconnect. Cheki
Set up a computer-to-computer (ad hoc) network
Njia ya muda mrefu zaidi unaweza kuziunganisha na Ethernet cable ambayo ni cross-over sio straight, hii ni kwa PC mbili tu.
Njia ambayo mimi ningekushauri kama zote zina Wifi ni kununua Wireless "Router" yaani hizi Wifi Access Point za kawaida hata bila kuwa na mtandao wa nje PC zote zinakuwa zipo kwenye network moja so zinaweza kuwasiliana. Kama hauna wifi kwenye PC zote au kama unahitaji spidi kubwa sana basi tumia ethernet cables kisha zichomeke kwenye switch (Wifi Access point mara nyingi zina sehemu za switch pia so unaweza kufanya zote kwa pamoja, laptop wireless, desktops wired) au hub (technically slower).
Amazon.com: wireless router