Kipi Hufanya speed ya INTERNET kuwa juu!!!!!!!!

Kipi Hufanya speed ya INTERNET kuwa juu!!!!!!!!

sayicom

Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
66
Reaction score
1
wakuu! Jamani nini hufanya speed ya internet kuwa ya kasi kati ya Modem au chip ya Simu!!!
 
Mkuu kuna mambo meng ya kuzingatia kuna high speed<8mbps packages> labda umenunua 4GB usipokuwa makini ukidownload vitu ving masaa 4 inaweza kuwa imeisha or unlimited downloads <256kbps packages> kwa mwez 1 kufungua page ya yahoo unaweza kutumia lisaa 1.zingatia packages zipo tofauti 256,512kbps,1,2,8mbps
 
kwa hiyo nini ushauri wako mkuu????
 
wakuu! Jamani nini hufanya speed ya internet kuwa ya kasi kati ya Modem au chip ya Simu!!!
ni mtandao wenyewe wa mawasiliano, kama sasa hivi airtel wameleta 3G 3.75 kwa hiyo itakuwa ndo faster zaidi lakini kwa pale tuu penye mnara huo labda mijini mijini. Kwahiyo usitegemee hiyo speedi kama upo nachingwea. Kwamfano tigo yenyewe hapo tu moro ukitoka kidogo kuelekea iringa haipatikani na kwingine ile 3g sigino barzzz zinachezea mbili hivi super ni tatu. Kwahiyo hapo lazima net itakuwa slowww. Alafu kuna kale kaspeed unachounganishiwa yani upatiwe ikiwa ni yachini utapigika tuuu
 
TiGo naona biashara imewashinda,sasa dishi la nini wakati 3G inashika full signals halafu speed ni ya gprs!
---Believdat---
 
Speed inategemea mambo yafuatayo

1, Speed anayotoa service provider wako kwa maana mbili
Mosi: Speed inayopatikana kwenye mnara husika mfano EDGE,GPRS(low speed).3G,3.75G(speed nzuri)
Pili: Speed kwa mujibu wa kifurushi chako, (kuna vifurushi vina speed kubwa na ndogo)
​

2,Uwezo wa modem yako kupokea speed anayotoa service provide wako

Ili kupata speed nzuri inapidi kwanza kabisa uwe kwenye eneo la mnara lenye speed nzuri,3G na 3.75G,
Pili uwe na kifurushi chenye speed nzuri, hapo uta enjoy.........

Ukiwa kwenye mnara wa 3G na ukawa na kifurushi cha speed ndogo utakuwa unacheza tu, halikadhalika ukiwa na kifurushi cha speed kubwa na ukawa kwenye mnara wa speed ndogo EDGE, GPRS utakuwa unasuasua tu

Wakati mwingine unaweza ukawa kwenye mnara wa 3G na una bundle la speed nzuri lakini ukawa unatumia simu kama modem na simu yako ikwa inauwezo mdogo wa kukabili speed, utakuwa unacheza(kuna baadhi ya modem zina uwezo mdogo kupitisha speed), lakini modem nyingi za mitandao yetu zipo juu
 
Back
Top Bottom