hivi simu yangu inaweza kupona tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi simu yangu inaweza kupona tena?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by g.n.n, Mar 27, 2012.

 1. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  simu yangu aina ya nokia 6300 express music ilidondoka kwenye maji kitambo ikazima then sikuipeleka kwa fundi nina kama miezi 3 hivi.
  Leo kuna fundi nimempelekea Kariakoo kaniambia haiwezi kupona tena
  back to the topic je kuna msaada wowote ninaoweza kuupata toka humu ndani ili simu yangu iweze kupona?
   
 2. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Ulifanya nini baada ya kuiopoa? Je, siku zote hizo kwa nini hukuishughulikia?
   
 3. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hii simu ni ya rafiki yangu mmoja hivi ambaye nina kaa nae sasa leo ndo kaniomba nimpelekee kwa fundi ndo nikapata majibu kama hayo toka kwa fundi ndo maana nimerudi humu kama nitapata msaada wa ziada.
   
 4. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Usiridhika na kwenda kwa fundi mmoja,wengne ni wababaishaji,kwani wewe unaishi pande za where hapa duniani?
  Ni pm kama vp nikuelekeze sehemu kuna mafundi,ambao hata hao wa kariakoo zikiwashinda wanaleta huku maeneo.
   
 5. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Simu imetumika ila inafanyakazi vizuri.Bei ni
  Tsh 600000/.(laki sita tuu)
  Kama unahitaji,Ni PM kupata mawasiliano ili kufanya biashara.
  Chukua hii HTC Desire 4G.
   
 6. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Simu imetumika ila inafanyakazi vizuri.Bei ni
  Tsh 600000/.(laki sita tuu)
  Kama unahitaji,Ni PM kupata mawasiliano ili kufanya biashara.Chukua hii HTC Desire 4G.
  Usiumeze kichwa.
  Pole kwa matatizo ya kuharibikiwa na simu.
   
 7. V

  Vonix JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Simu imetumika na bado inauzwa laki sita daaa!!!!!!hadi kichwa kinaniuma yaelekea niko nyuma sana na simu za mkononi.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Leta hela nikuuzie HTC98000
   
 9. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hujakosea,
  Ulitaka kutoa ngapi?
   
 10. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nashukuru kunifahamisha simu yako hayo tutaongea baadae kidogo kwanza nahitaji msaada kama nitaweza kumsaidia rafiki yangu kupata suluhisho.
   
Loading...