Weixin - Bringing the Mobile IM Revolution to the Mainstream | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weixin - Bringing the Mobile IM Revolution to the Mainstream

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by PongLenis, Mar 28, 2012.

 1. PongLenis

  PongLenis JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Weixin it is a clone of whatsapp! nakumbuka watu wanasema whatever chinese copy basi product itakuwa low quality ! but not on this one!....

  kwale watu wa BBM, WhatsApp, LINE or Talkbox etcl! watakubaliana na mimi wakiona features za hii application ambayo ipo available kwa Android, iPhone, Windows Phone and Symbian platforms ni superior kuliko hizo.

  1) where to download - nenda kwenye market! hapa nazungumzia OVI kwa watu wa symbian OS , Google play (android market) kwa watu wa android OS , na I tunes kwa watu wa I phone.

  2) Umesha download how to register - use ur mobile # same as whatsapp

  3) Features - weixin ina features nyingi za saana

  a) Voice msg - Kwenye hii app YOU can either choose text msg or kutuma msg ya sauti .. platform inakuwa hivi


  [​IMG]  b) you can set a profile - unfortunately kwenye whats app hili halipo but kwenye weixin you set a profile na kuweka profile photo kama uonavyo facebook etcl


  c) Look around - labda upo home bored au bored weekend and no one replay your text msg kwa kutumia weixin kuna option ya look around .. inatafuta watu waliokaribu na wewe kuanzia 100m ambao waspo on-line na mnaweza mkaanza ku chat ...

  P.S ipo option ya kublock a stranger ambaye anakusumbua na hutopata msg tena kutoka kwenye ile number

  d) SHAKE - Hii option una shake simu simu yako left to right or right to the left .. itakupa list ya watu wanao shake muda huo walio karibu na wewe .. bahati mbaya watu wanaitumia hii option vibaya kana kwamba mtu aki shake ina maana anahitaji one night stand .. though baadhi wanaitumia kutafuta marafiki tu .  [​IMG]  na pia mfano mpo kwenye party au club au kwenye sherehe mnataka ku share contacts mnaweza mkatumia hii option kila mtu ana shake simu yake ...


  DRIFT A BOTTLE - hii option ndio inayoifanya weixin kuw superior wa apps zote!.... kwenye drift a bottle unaandika msg katika chupa na kuitupia baharini! mtu yoyote aliye mbali na wewe australia .. au bongo.. au china he/she can pick a bottle na kuanza kusoma ujumbe .. na anaweza akaujibu hapo hapo!

  au wewe uunaweza ukakaa na kuanza kuokota chupa... na kutoa ushauri kwa mtu ambaye 100% ni stranger ! and sure baada ya ushauri you can block him/her hutopata ujumbe tena toka kwake au mnaweza mkawa friends na aka ku add .

  sijajua hii app kama kwenye blackberry ipo.
   
 2. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  dah kudownload medownload lakin full kichina hata kujiunga nimeshndwa
   
 3. PongLenis

  PongLenis JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  u can change app language to english ....

  ukiifungua app wanakuletea window ya ku log in kama unayo ID we ila chini kutakuwa na mahala jiunge! na forget password ila ndio hivo kichina jaribu moja wapo utafanikiwa ... ukibahatika kupata mahali pa kuingiza namba ya simu watakupa drop out ya list ya countries we choose ulipo chini andika number ya simu! .. subiri confirmaton code au link! mara nyingi no code .. utaingiza ... utaset username! ukifanikiwa kuingia ndani u can chane app langauage! see hii picha ya siu yangu chini!...

  mimi bahati nzuri nimedowload toka adroid market ipo moja kwa moja in english .. but u can change if u want nenda SETTINGS> GENERAL> LANGUAGE

  [​IMG][/URL] image hosting[/IMG]

  ukiingia kwenye general utakuta hivi

  [​IMG][/URL] jpeg image hosting[/IMG]
   
 4. PongLenis

  PongLenis JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
 5. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  naomaba unisaidie unifungulie account halafu unipe id na password maana naona wenge tu
   
 6. PongLenis

  PongLenis JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  U can use QQ id ku log in!

  jiandikishe qq id hapa QQ Sign Up

  watakupa QQ number ambayo utatumia ku log in
  simu yako aina gani..?
   
 7. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  nokia e63
   
 8. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dah! Ina maana wachina hawatuthamini siye wenye BB?


  Inaonekana nzuri kwa mujibu wa maelezo yako.
   
Loading...