Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ever wondered to know how to hide secret messages in images, audio and video files? Well, in this post I will take you through a concept called steganography using which, it is possible to hide...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
samahani. computer yangu ina specifications hizi: dell latitude d610 ram 512mb processor 1.7ghz hdd 40gb kuna nembo imeandikwa designed for window xp, but nataka use window 8. kuna madhara?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu sim yangu haiwezi kudownload kwa kutumia opera niliyo install,bt inafungua almost page zote.nifanyaje ili niweze kudownload kile nachotaka!simu yangv ni sumsung GT-C3510
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Wakuu.. kwa bahati mbaya nimemtumia mtu pesa kwa makosa dakika chache baadae nilipogundua tatizo nilijaribu kupiga ile namba ikawa imezimwa,nikapiga vodacom m-pesa wakasema pesa imechukuliwa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
naomba msaada kwa anayejua au aliyewahi kukutana na kitu kama hiki kwenye home theatre ya panasonic, kila nikijaribu kuiwasha inaonyesha F61, halafu inarudi kwenye sand by mode, je tatizo ni nini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi, jamani wadau wa cm yeyote mwenye utaalamu wowote juu ya cm ya Nokia 6300 single line toleo la mwaka 2007 anisaidie... Coz my 4ne cku hzi ni nzit0 xana ktk mambo ya mtanda0, pia mem0ry card...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Mkuu wa chuo cha Mafunzo ya ufundi stadi (VETA) Chang'ombe amesema kuwa vijana waliopitia VETA baadaye wakaenda University kuchukua engineering wana-perform better compared to direct form six...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani nahtaj mnisaidie STK na sehemu znakopatikana nipo DAR nataka kununua NAOMBENI MNI PM KAMA WEWE NI MUUZAJI AU UNAMADUKA.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, wakuu ningeomba kujuzwa mtandao wenye modem ambazo net yake iko reasonably cheap na pia yanye speed nzuri.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari za week end wakubwa,naomba mnitumie unlock code ya huawei modem e 153 plz.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nataka nipate ujuzi wa kutengeneza inverter hivyo bas nisaidieni kubadili dc to ac najua watalamu mpo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiki kifaa kipya vipi kinachakachulika? Naomba maujanja.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
​Wana JF, Naomba msaada wa wataalam wa picha na TV. Kuna kitu kwenye picha kinaitwa "aspect ratio", hii ni ratio ya urefu na upana wa picha ili picha ionekane katika uhalisia wake.Katika TV...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna mdau yeyote amewahi onja ladha ya hii simu (samsung GT B5512). Nimesoma sifa zake kwa kweli imenivutia sana. Hapa TZ imeshafika.? if yes naomba nipewe mwongozo ni wapi naweza ipata.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana jioni nimetumia modem yangu ya zte ya voda kama kawa kudownload movies kwa proxy! Usiku huu nimeichomeka najaribu kuconnect mobile broadband inaniletea error 635. Nikahisi jamaa washainasa...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Nime install "Linux Mint" kwenye pc, nashindwa kuinstall usb modem ya tigo. naomba shule wataalam.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza HP DeskJet Printer (model no F4280), hii printer+Scanner+Copier imetumika kidogo sana, iko katika box lake halisi, ina cd zake zote, na connection cables zote... Ina wino mmoja wa rangi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, jana niliangalia kipindi kwenye tbc ambacho walionyesha mashine yenye uwezo wa kuita samaki baharini/ziwani/bwawani/mtoni through high frequency sounds. Mvumbuzi ni mwalimu wa Veta, Tanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi tafadhali naomba mnipokee na shida yangu hii, nina ka office kangu na computer mbili, nataka kuwa nina share mafaili na siko na mtandao, je nawezaje kuziunganisha pc hizi 2 pamoja...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
baada ya watu kibao kushindwa kudownload torrent kupitia clients eg bitcommet na zinginezo, nikaona si vibaya kuwapa ujuzi niliopata katika pitapita zangu kuhusu jinsi ya kudownload torrent na...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom