Ni unlimited mpaka tarehe ya mwisho wa bundle husika. Mfano ukijiunga na bundle ya mwezi tsh.30,000: Jambo la kwanza utapewa 2GB tu, ambapo utakuwa na UNLIMITED SPEED, Pili ukimaliza hizo 2GB, utapata UNLIMITED USAGE mpaka muda wako utakapo kwisha. TATIZO ni hili: Ukimaliza tu hizo 2gb, Spidi itashuka na haitozidi 10KB/s (kwenye IDM)hata kama upo eneo la 3g (au 3.7g) hivyo hautoweza kufanya chochote cha maana kwa hii spidi, japokuwa wao wanadai wanakupa speed ya 64KB/s. Bila shaka nitakuwa nimejibu swali lako.
USHAURI: Tuendele kutumia ile bundle ya tsh 2500 kwa MB400, uzuli wake kwa sasa waweza kujiunga mara nyingi kadri utakavyo kwa siku na spidi ni kubwa.Just kwa kupiga *154*44#