Muhimu: MSAADA TAFADHARI TiGO wanaTAFUNA SALIO LANGU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimu: MSAADA TAFADHARI TiGO wanaTAFUNA SALIO LANGU

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bado Niponipo, Mar 28, 2012.

 1. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wakuu natumia service ya BB ya Tigo, lakini cha kushangaza mbali na kufanya monthly subscription ya Blackberry ninapo tumia let say JF au Google huwa wanakata salio langu, naombeni msaada wenu juu ya hili.

  Asante
   
 2. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Kama unatumia Opera mini ujue kua haitumi BIS but inakata kwenye salio kama hujaweka bundle ya light au standard kama simu ya kawaida ..Opera inatumia career internet ndio maana kama ikitokea BB systems zime crash opera mini inafunction
   
 3. F

  FOEL Senior Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu umelipa BB service still unakatwa credit yako, duh...hawastahili kukukata baada ya kulipa BB service, ngoja tusubiri wataalam wa Blackberry hapa..
   
 4. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu natumia Blackberry 9700 bold na huwa nalipa fee za kila mwezi za Blackberry Services lakini cha kushangaza huwa nakatwa kwenye salio langu pindi napokuwa naangalia internet kama JF, Google, blogs etc, vipi natatua vipi tatizo hili au kuna settings natakiwa kufanya, msaada tafadhari
   
 5. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Sijui wenzangu watakupa jibu gani maana nimezunguka internet kutafuta jibu au solution nikakosa lakini mimi kama mimi niliona njia tosha ni kuacha kutumia kwenye BB opera mini ...nilikua natumia Bolt (sema now imefungwa ) au tumia webbrowser ambayo iko built in lakini kama opera mini ni a must nunua light siku ..
   
 6. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Utakuja, yaani unasema inabidi nilipie Blackberry Service and at the same time nilipie light siku vilevile.
   
 7. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  yeah 450tshs for siku mbili, tatu maana opera itaendelea kula salio tu
   
 8. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  one last suggestion embu cheki if opera mini yako ni the latest from nilivyo soma kuna some versions aina hiyo bug iliokua corrected by an upgrade ...maana apps zinabidi kuwalipa RIM kutumia BIS service na opera developers wamelipa
   
 9. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amia airtel
   
Loading...