Skype Kwangu Kulikoni?

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Nimefungua account ya Skype kupitia Computer nikitaka ku sign in kupitia simu inagoma, simu yangu Nokia C5.Ila kwa kutumia Pc inakubali.Na vp ambaye ashaitumia credit unawekaje? na matumizi yake nimazuri? Msaada jamani.
 
Angalia password yako simu ina mtindo wa kuanza na herufi kubwa then herufi kuanzia ya pili ndogo lets say pasword yako ni kindunye kwa simu ukitype itakaa Kindunye yaani K inaanza kubwa

Skype kwa skype ni bure ila kupiga landlines au operator wengine ndo na hela

Inategemea na unaempigia kwa sababu skype ni ya marekani ukimpigia mbongo utachajiwa kama we mmarekani unapiga bongo, mfano kupiga marekani inakua rahisi kuliko kupiga tanzania

Credit unanunua kwenye website yao ukiingia kule utaona maelekezo.

Kama upo makini na offer za internet credit za skype zinatolewa sana bure
 
Back
Top Bottom