Ivi ni kweli elimu ya vyuo vya ufundi(technical college) ni bora zaidi kuliko A level | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ivi ni kweli elimu ya vyuo vya ufundi(technical college) ni bora zaidi kuliko A level

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by karim lilanga, Mar 28, 2012.

 1. k

  karim lilanga Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waungwana nisaidieni jamani!kwasabab daily sipati jibu!karim lilanga@facebook
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu wanaolia mtaani kuwa hakuna kazi ni watu waliotoka vyuoni....wapo tele mtaani ila aliomaliza VETA au FTC kazi za kumwaga tena bosi anakubembeleza coz anajua wewe ni kichwa!! 2012 Dunia yako Chaguo Lako!!
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  yah hata mimi naamini mwenye degree hamfikii wa veta practically, nilitembelea veta nkaona the way wanavosoma wapo competent sana hawa jamaa,

  Hili linathibitishwa na ugunduzi wao post nyingi humu watu wamepost kuhusu vitu vilivyogunduliwa hapa tanzania vyote vinatoka veta, mfano gari la solar na sauti inayovutia samaki kwa wavuvi
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Jiandae kuwaita Boss hao wenzako wanaokwenda A-level na kukuacha ukienda chuo cha ufundi kuwa fundi mchundo.
   
 5. K

  Kasigi Senior Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Teh! teh! teh! tell them
   
Loading...