Msaada: Antivirus imeng'ang'ania kwenye computer yangu jamani!

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Waunguana, mwenzenu mie ndo nishakwama hivyo. ESET Smart Security5 nimekuwa nikiitumia kwa muda sasa ila kuanzia juzi ilikataa ku update kisha ikaandika Maximum Security is not ensured na muda huo huo ikasema Virus signsture database is out of date. Kuanzia hapo kila nikijaribu ku update inakataa na kuleta ujumbe usemao Invalid Password or Username.

Hii kitu niliicrack so haikuwa na lencense ila kwa kipindi hicho chote ilikuwa ikifanya kazi fresh tu na muda wote imekuw ina update bila shida yotote.

Tatizo limekuwa kubwa nilipotaka ku uninstall. Kwanza haipo kwenye list ya
Uninstall or change progams
(kupitia contol pannel). Ila ipo inaonekana kwenye list ya installed programs (kupitia Start>> All programs) Hata hivyo kuna option ya Uninstall hapo ila nikiiselect inaleta error message:
This action is only valid for products that are currently installed.

Hili tatizo ni mara ya pili sasa, last time niliinstall Bitdefender 2012 lkn nilipotaka ku uninstall ikagoma ikabidi nipige chini windows. Kwa sasa natumia Windows 7 Home Premium 64bit.
 
kila antvirus ina remover yake, niliwahi pata tatizo kama hilo nenda website yao download eset remover then run itatoka

Kama ikikataa itabidi u boot katika safe mode then utoe manual
 
kila antvirus ina remover yake, niliwahi pata tatizo kama hilo nenda website yao download eset remover then run itatoka

Kama ikikataa itabidi u boot katika safe mode then utoe manual

Ngoja nijaribu hiyo option ya kwanza, hiyo ya pili nimeijaribu ikafeli.

Asante Chief.
 
kuna software inaitwa Revo Unistaller fanya kuisearch google then install kwa mashine then jaribu kuitoa tuone na hapo kama itakataa. Ikikuzingua nicheki' nishakutana na tatizo kama lako mzeeeeeeee.............. poaaaaaaaaaa
 
Hakuna haja ya kuindoa. Update kwa kuchukua update keys (username na password) toka hii site hhuu.com . hizo key ni trial na huwa wanazibadili KILA SIKU hivyo kila ukiombwa keys basi fungua hiyo site. NB: FUNGUA HIYO SITE KUPITI COMPUTER YENYE ANTIVIRUS TOFAUTI NA ESET. Sababu wao eset wameiblock hiyo site. Au tumia hata simu.
 
Back
Top Bottom