Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,763
- 819
Wakuu nina E mail mbili yahoo moja nilifungua 2005 na nyingine nilifungua 2009. Mara ya mwisho nimefungua kutumia simu yangu. nilipojaribu tena kufungua kwa simu wakaniambia natakiwa kutumia desk top nikafanya hivyo wananiambia ni invalid ID nijaribu tena, nikaenda kwenye help wakaniuliza alternate email au swali yote naingiza lakini yanagoma wanasema haimatch na info zilizopo kwenye accont yangu. na ya wife pia iko huvyo yeye alifungua 2009.
Wakuu naombeni msaada coz kuna information nilizisave mle nazihitaji lakini pia kunasehemu niliapply kazi na nilikuwa natumia account hiyo. Na wife wangu the same naombeni mssada please.
Be blessed
Wakuu naombeni msaada coz kuna information nilizisave mle nazihitaji lakini pia kunasehemu niliapply kazi na nilikuwa natumia account hiyo. Na wife wangu the same naombeni mssada please.
Be blessed