Msaada, nokia n8 imezima haitaki kuwaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, nokia n8 imezima haitaki kuwaka.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mgodi, Apr 18, 2012.

 1. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Wakuu, poleni na majukumu ya kujenga taifa. simu yangu nokia n8 orijino imezima ghafla na haitaki kuwaka wala haingizi tena chaji! naombeni msaada wenu namna kuiwasha.
   
 2. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu toa betri na uiache kwa muda, walau saa moja then uichaji hadi full, then washa.
   
 3. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  nashindwa kufunguwa screew ili nifikie hiyo batri! simu yenyewe ina housing kama ilivyo iphone 4.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  We mzushi unashindwa hata kuifungua!?
   
 5. R

  Rwiai Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama uko serious na post yako nenda kwa mafundi wa simu wanazo special tool ya kufungua hizo screw4 ya nokia N8. pia unaweza kugoogle Nokia N8 disassembly kuna maelezo ya namna ya kutoa betri hiyo.
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,524
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  hiyo imekufa disipley kabadilishe wanauza madukani.
   
Loading...