Msaada kwenye iphone

Synch ur iphone with itunes in a pc which doesnt have any contacts.
 
Address book, i mean contacts nilizozisave kwenye cm nataka nizifute. Ziko nyingi sana nishindwa kuzifuta zote kwa mpigo
 
haijakwapuliwa mkuu, tumebadilishana cm na mtu akanipa yenye contacts ndo ikawa tabu kuzifuta at once. Nashukuru kwa msaada nimefanikiwa
 
haijakwapuliwa mkuu, tumebadilishana cm na mtu akanipa yenye contacts ndo ikawa tabu kuzifuta at once. Nashukuru kwa msaada nimefanikiwa

Inawezekana kuna mwenye tazizo kama Kakore genuine ainisha jinsi ulivyoweza kufuta, alafu kichwa cha habari ukikiweka vizuri inaweza kumsaidia na mwingine kupata hii mada kupitia search option mfaano; Masada wa kifuta orodha ya majina kwa pamoja katika iPhone.
 
Back
Top Bottom