Msaada: Samsung i9010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Samsung i9010

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kwetu Iringa, Apr 20, 2012.

 1. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  WanaJF, nimenunua leo simu hii kwa machinga, brand new. Tatizo hakuwa na Manual. Alikuwa na charger na earphones tu. Sijawahi kutumia smartphones before. Nimeshindwa kupata Manual yake kwenye web.

  Tafadhali mwenye msaada anipe soft copy ya hii manual.

  Natanguliza ahsante.
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Siku nyingine ukipata tatizoa la kifaa anzia kwenye tovuti ya watengenezaji.Huko utakuta manual . Unaweza hata kugoogle neno "Samsung i9010 manual "

  kukurahishia kazi
  nenda hapa Samsungu GT-I9010.
   
 3. dlink

  dlink Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Kaa hapo manual ipo directly; SAMSUNG?
   
 4. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  machinga na simu original...? haya bwana
   
Loading...