psp imegoma kuwaka

elank54

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
479
21
Wakuu naombeni msaada , PSP angu ilikwisha chaj na nilipoiweka kwenye chaji hakuna mabadiliko yoyote !! Na asbuh ake majuz nliichaji na ikakubal ila jion ilgoma
 
pole sana i know how bad ur feeling right nw! Sijajua kama ikiwaka inatoa dalili za kua on,lyk ukibonyeza button inatoa sounds but there z no display!kama case ni hiyo screen ina tatizo! Kama ni DIYperson unaweza kuchck connection za screen or kama inahitaji replacement(kama ilishaanguka sana na kuvunjika)!
Ila kama haiwaki kabisa unapoiwasha ila charge inaingiza mayb switch inatatizo jaribu kuwasha many times ukicomfirm ni switch ts not that bad,u cn gt t fixed kwa fundi o u may DIY! Update me on ur progress if u can
 
nkiiwasha hakuna kinachotokea kabisa, I tried to remove battery na moto ulkua unafika frm the charger
 
then key ya kuwashia inawezekana ina tatizo,kama imesha2mika sana mayb kuna loose connection kwenye key inayofanya hata ukiwasha kisitokee ki2 chochote!! Au kuna ki2 umekiona ku rule out hili kuwa ni tatizo mayb?
 
Dah mayb its charger mana tht day ckuitoa kwenye xtension na madogo walchek tv later ikiwa connectd af nkichaj inakua hot sana
 
Back
Top Bottom