MSAADA Ntajuaje kama i-phone ni original

MSAADA Ntajuaje kama i-phone ni original

Abloodi

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
165
Reaction score
12
samahan wana jamii ..nmepewa simu ya i phone hv juzjuz lkn sjui ka ni original au la hasha ! imeandkwa made in china... na ina apps za kutosha.. natanguliza shukran kwako.
 
samahan wana jamii ..nmepewa simu ya i phone hv juzjuz lkn sjui ka ni original au la hasha ! imeandkwa made in china... na ina apps za kutosha.. natanguliza shukran kwako.
Ndugu usiwe na hofu, simu nyingi za iphone zinakuwa design in USA lakini China wanazi assemble
 
Ukitaka kupata uhakika, nenda kwenye settings, general halafu about halafu angalia serial number. Ingia kwenye website ya apple nenda kwenye customer support, utatakiwa kuingiza serial number ya cmu yako, kama ni original itaidentify model ya cmu na kama bado iko ndani ya warranty. Good luck
 
Back
Top Bottom