PC Hai connect Web zaidi ya Google!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PC Hai connect Web zaidi ya Google!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mang'ang'a, Apr 21, 2012.

 1. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  adau nime format computer moja kati ya kadhaa zilizo kwenye network, cha ajabu baada ya hapo naweza kuingia web ya gmail na google tu mnaweza saidia hapa???
   
 2. d

  davycom Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  jaribu kuangalia DNS configurations zako.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama alivyosema mdau inawezekana ISP wako au wewemwenyewe ulivyoset DNS kuna tatizo.


  Jaribu kufanya hivi.Pale kwenye adress bar unapoingiza majina ya tovuti ingizaa IP dress
  • www.dell.com ingiza adress hii 143.166.224.244
  • www.yahoo.com ingiza a ip adress 209.191.122.70
  • Jamiiforums.com ingiza ip 174.36.153.183 ( Japo hapa naona pia JF server yao haijawa configured fresh)
   
Loading...