3D glasses

mfocbsjut

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
473
246
Naomba kuuliza wakuu, juzi nimedownload movie ya avatar ambayo ni 3d, je naweza kuichek kwenye pc yangu nikipata 3d glasses? Je hizo 3d glasses zinapatikana madukani? na price yake inarange vp? Natanguliza shukrani.
 
Ninavyojua kuona 3D inatakiwa screen yako iwe ina sapoti hizo mambo
Glasses za 3D ukienda pale mlimani cinemax utapata kwa 5,000 tu.
OTIS
 
kaka kuna laptop moja 2 imetolewa ndo inasupport 3D inauzwa $2700 so kwa hyo i thnk hauwezi
 
Back
Top Bottom