Nimeona baadhi tablets kama HP Slate2 ambayo tayari in Windows 7. Je naweza kuinstall Windows kwenye tablet ambayo hainayo tangu awali?
Natanguliza shukurani kwa michango na misaada yenu.
hi guyz kunam2 kaniletea hyo cmu aina ya palm treos 750 ambayo inatumia huwa inatumia windows mobile lakn hii nmekua ina os ambayo co windows na cjui ni aina gani! Msaada nahtaji kupata maelezo on...
Nokia today expanded its Asha line of touch-enabled devices, with three new "smartphone-like" models.
The Nokia Asha 305, 306, and 311 expand the phone line, which was first introduced by Nokia...
Wadau nna mdogo wa shangaz yangu hapa anasoma huku shule flan sekondari frm 3 mara kadhaa akitoka shulen huwa analalamika eti mwlm wa physics ana gonga stiki kwa vpimo flan na fimbo yake ni...
The use of cyber weapons that target Iran - such as the recently discovered Flame virus - are "reasonable", a top Israeli minister has claimed.
The new malware, discovered by a Russian...
Wadau hiyo ndio meseji napata nikiwasha pc yangu ilitokea baada ya ku-restart windows to apply updates! Help please.
Ni pc aina ya lenovo T410s, haina CD drive! chief-mkwawa shalobaro...
site ama torrent site gani naweza pata download java na PHP video turtorials sanasana zilizoelezewa na hao cbt nuggets ama lynda.? na pia kama unajua watu wengine wanaoelezea vizuri hzo tutorial...
For sure, blackberry is nice smart phone, cheap sometimes and easy to use!.
When it comes to internet service I hate BBerry because I have to pay 35000 for my phone to be connected to internet...
wakuu,
imezoeleka mtu anapoformat computer, hata kama alizifuta data zake zote, lakini akifanya back up, data zote anazipata. swali la kujiuliza, unapofuta, data hizo zinaenda wapi?
na kama data...
Habari zenu wakuu. Naomba mnisaidie nina shida ya kufungua inbox sms kwenye simu ya sony ericson P990i. Kila nikifungua inanipa ujumbe wa "APLICATION CLOSED" reason code 130.
I recently got a page which sells mobile phones in UK and quite frankly the prices are a bit scary so i wanted to know if anyone has already tried buying and succeeded because you have to pay...
Wadau wa Science on JF,naomba kwa anaeweza anisaidie hili,Nina simu ya BlackBerry,sasa tatizo lake ni kua nikijiunga na bundle ya internet zile service books haziingii katika simu after...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.