4G internet access ipo Tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

4G internet access ipo Tz?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mbimbinho, May 28, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Habari zenyu banaaa.,
  Ebana naombeni mnisaidie, nataka kujua kama Tanzania now kuna makampuni ambayo wanatoa huduma ya Internet ya 4-Generation.
  Kama yapo, ni kampuni gani hiyo?
   
 2. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  4G ya nn wakati hata hiyo 3g bandwith yao ni ndogo imeshindwa kututosheleza mkuu. Utapewa 4G jina lakini hiyo network hutokaa uione ng'ooooooooo. Airtel wenyewe wana 3.75G but speed yao kubwa ni 250kbps sasa hiyo 3.75g ina maana gani? Ukitaka kuipata labda watanzania wote watoke online ubaki peke yako ndo unaweza ukaifikia hiyo speed ya 4g au 3.75g.
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  raha.com ndio wana 4g wanapatikana dar, ila hamna mtandao wa simu wenye 4g. Sjajua makampun mengine ya internet kama ctv nayo kama yameeka.
   
 4. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  3.75G Ukiikadiria kimahesabu ni 4 kwa uwezo wa makampuni ya hapa Bongo kwao hiyo ni sawa na 4G.
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Kaka sema ni umaskini tu ila kuna bundles za hio hio mitandao ya simu ukinunua unapata speed ambayo modem ya kawaida ya 3.2 inazidiwa.

  Mfano unlimited voda 10,000 ya wiki speed ni ndogo ila ukinunua ya 15,000 kwa wiki unaona speed ina improve.
  Kuna jamaa namfahamu ananunua net yake voda 112,000 kwa mwezi na modem ya 7.2mbps (haziuzw kawaida dukan) speed yake haishuki 750kbps kudownload.

  Same mitandao mingine tigo nao utakuta bundle ya mwez 28,000 ni light na 35,000 ni standard ila ile max yenye speed nzur ni 60,000

  Kwa hiyo ni umaskini tu kaka ila speed zipo
   
 6. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Mkuu hao voda ndo the best ukiacha ZANTEL cwezi kukataa sababu hako kaspeed huwa nakafikia kwa sekunde halafu kanashuka , sababu Zantel pia ni ISP wa VODACOM ndo maana unaona voda wanajitahidi speed. Mie mwenyewe nina modem ya 7.2 ila speed ya voda kuipata kubwa sana ni ucku. Kiukweli ZANTEL 3G is the Best of all in Tanzania.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bundle ya zantel yenye uwezo wakufika hiyo spidi ni shilingi ngapi
   
 8. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Nunua bundle yoyote ambayo haina limitation ya speed kuanzia MB30, Ningekushauri ile ya siku 3 unlimited kwa 5000/= lakini cjawahi kuitumia na hawajaeleza kama wanapunguza speed ya ku download ama la, mean while ww jaribu hata kwa 30mb utanipa majibu.
   
 9. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yah ni kwl kabisa Vodacom speed iko juu but not constant voda inafika 750KBps but at less times au wakati Haiko crowded unless Zantel toka nitumia mwezi wa tatu huu speed ALWAYS yani ALWAYS iko juu na haijawaizingua labda muda mchache kwl na Zantel kama unasa minara full unapta 600 - 800KBps kwa IDM na kwny Torrents ni
  450 - 500KBps
  ambayo thats just Amazing mimi natumai Modem ya Airtel ambayo inauwezo wa 7.2Mbps Download na 5.7Mbps Upload Speed...chk the snap bellow of the Amazing speeds ya Zantel


  IDM speed:

  [​IMG]

  TORRENT speed:

  [​IMG]


  CONCLUDING! ZANTEL 3G IS THE BEST IN TANZANIA!
  Hamna maana ya kusema oooh 3.75G alafu speed ndogo mara 4G sisi tunachk speed tu!! na the Quality of it
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Duh., Wakuu mmenitisha kweri kweri asee...:A S cry:, anyways nitafight hivo hivo..!
   
 11. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Speed hiyo ya Zantel nikwa maeneo gani wakuu?! mimi niko Tanga na natumia Zantel lakini bado Speed ni ndogo sana wakati mwingine inakubidi usubirie kama unachoma mahindi kwenye jiko la mkaa.
   
 12. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Hapo 2po pamoja mkuu. Speed ya zantel iko na mzuka sana mkuu. Ngoja na mie nishushe Pro evolution socca mkuu nilikua nimesahau.
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Japo now sipo tanga ila speed si ya kuchoma mahindi inarange 90-150 kbps ni speed ya kawaida inyobrowse fresh na kudownload. We unatumia device gan
   
 14. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ok sinauhakika ni maeneo gani na gani ipoo.. na pia Kuna katofauti Kidogo kuna Zantel CDMA ambapo unatumia na modem zao na hii Zantel 3G wengi wanatumia na kuijua Zantel CDMA.. Zantel CDMA speed quality ni nzuri pia na huwa always constant but sio kubwa kama Zantel 3G na kwa experience yangu ni only around 200KBps hivi..

  Pia kingine muhimu unaweza ukawa una nasa Zantel 3G full minara but speed unapta only around 300KBps(MAX) na haipandi zaidi ya hapo.. hii nimegundua kuwa lines zinatofautiana speed:

  Zantel Epic nation lines za zamani zenye rangu ya nyeusi mbele na alama ya Z kubwa ya kijani BUT nyuma ni half WHITE half BLACK( hizi ndo zenye speed kubwa upto 800KBps MAX)

  Zantel lines hizi mpya ambapo mbele na nyuma kote ni BLACK.. speed zake sio kubwa sijajua kwanin? hizi utapata 300KBPS(MAX).

  So ukitata line za zamani utazipata kwa wakala wa epic nation kabisa ukiwambia unataka hizo line za Epic na pia utaweza kutofautisha ukiangalia so utazitambua tu
   
 15. d

  deedee Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  4G ipo bongo..tatizo device nyingi zina-support mwisho 3G
  Nikiwa posta na baadhi ya sehemu hapa dar bb yangu
  9900 huwa inaandika 4G na speed yake balaa(natumia tigo bb internet service)
   
 16. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Screenshot please!! Unless u are the one who put that 4G radio on that Blackberry!! Ulaya yenyewe hamna 4G..ni marketing strategies hizo kutoka kwa carriers na smartphone makers..ila bado haijafikia standard za kuitwa 4G halisi!! Wenyewe wanita FAUX G!!
   
 17. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Kwenye cmu huwezi kupima speed ya internet mkuu hapo unajidangaya.
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,692
  Trophy Points: 280
  wazushi tu wale, hivi wanafahamu kweli ni nini maana ya 4G
   
 19. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  Simu inayo sehemu ya kupima speed kaka kama ni nokia smart phone navigate kwa style hii menu then connectivity then connection manager halafu utaona active access point mfano vodacom internet then bonyeza option then details utaona kipage flan kina speed, za download, upload bytes ilizoreceive ilizotuma
   
 20. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,152
  Trophy Points: 280
  We ndo umetutia kamba kabisaa au wataka usifie simu yakooooo hio simu haina 4g na wala tigo hawana 4g how that possible kaka
   
Loading...