There could be many reasons why youd want to troubleshoot your computer, well, one actually and thats because something is not working right. The process of troubleshooting is something you...
Heshima kwenu wataalam,
Mimi nimekuwa nikijaribu in vain muda wote kudownload watsapp application kwa simu yangu LG X330T..nikaambiwa eti watsapp haikubali kwa simu za java.
Je,hadi sasa...
Salaam wadau
Kama swali linavyojiuliza...eti information ambazo ume-burn kwenye CD zinaweza kuwa-attacked na computer viruses, naomba elimu kwenye hili!
jaman mm leo katika kuperuz in different blogs nkaona hii kitu. Kuna anae ifahamu hii !
[okkomadewal.com/2012/06/change-your-desktop-as-3d-shock-desktop.html?m=1]
:ranger:
Mkuu heshima kwako.
Naomba niulize ni kwa jinsi gani naweza kufanya installation kwa komputer 100 concurrently coz kuna dili ya siku moja nimepata hivyo waujanja yanahitajika ili niweze pesa...
Yani leo nimekutana ya website ya ajabu, yani sijui kama this organization wana mtu wa IT na kama yupo he is a total disgrace to the IT community!! Hii hapa chini ndio webpage yao yani sijaedit...
Nimedownlowad movie yangu lakini nimeshindwa kuiplay kwani inataka funguo (password) ili kupata accsess, tafadhali mwenye maujanja ya kuivunja anijuze. Nitashukuru.
kwa wakuu wanaotumia hii torrent downloader, napenda kuwapa username yangu :chavinski na password: frosty75, kwaajili ya fast downloads. nina cheo cha leutenant so inasaidia kudownload fast. enjoy...
Wale mnaotumia opera mini kwenye simu zenu, Opera Software ASA wametoa opera mini 7 kwa ajili ya java na blackberry phones. Hii ni upgrade ya opera mini 6.5. Awali walitoa opera mini next ambayo...
Wadau za weekend
Siku za nyuma kidogo niliwahi kuona pahala kuwa kuna configuration ambazo waweza kufanya kwenye simu yako ili hata ikiibwa utaweza kutress na kijua ni nani anatumia simu yako kwa...
Habari wadau
tatizo langu katika laptop ni driver ya VGA kila niki install hiyo laptop inakuwa nzito sana na inaanza kuganda lakini nikiitoa inakuwa nyepesi please nifanye nini ili niweze ku...
wakuu file zangu zote ambazo ziko kwenye folder zimeingiliwa na file linaitwa desktop i.i ambalo zinafanya folder kuonekana tofauti, msaada wa jinsi ya kuliondoa
Wakuu salaam kwenu. Naomba msaada namna ya kuunganisha Zantel modem kwenye mac (OS 10.7 Lion). Nilijaribu kutumia maelezo kutoka pasamio.com "Getting ur Huawei modem working with Mac OS X Lion" na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.