Naweza kutumia gari yangu kama generator/ kupata umeme? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naweza kutumia gari yangu kama generator/ kupata umeme?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kaka Sam, Jun 11, 2012.

 1. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwenye maujuzi tujuzane how can i use my car kufua umeme kwa house yangu if possible... na garama je?

  senks
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,332
  Likes Received: 2,977
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaweza kabisa ila linatakiwa modification,zaidi pia utalazimika kuwa na kiasi fulani cha pesa kununua baadhi ya vitu vitakavyotumika ktk modification.
   
 3. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaweza kunisaidia ni aina gani ya vifaa vitaitajika na aina gani ya modification itatakiwa nifanye?
   
 4. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Njia nyingine ni kutumia inveta unaunga pale kwenye betri ya gari yako.
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu hebu tudadavulie zaidi....
   
 6. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Mkuu mbona umeingia mitini? Hebu dadavua hiyo kitu nasi tujaribu
   
 7. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  huwa inaisha chaji mapema kama ukiweka vitu vyenye wats kubwa
   
 8. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  uwe unawasha gari kila baada ya muda furani
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
Loading...