Zitoe na uzisimike tenaHeshma kwenu wadau.Nimeweka window xp kwenye computer yangu then nkaweka vlc na windo media zimekubali kuwa installed ila tatzo haziplay movies wala music.Nifanyeje? Ushauri naomba.Asanten
Zitoe na uzisimike tena
angalia computer yako inawezekana haina drivers.
yeah, itakuwa amekosa mojawapo ya hizo. mkuu, jaribu kucheza audio, then ulete feedback. na zinavyogoma kucheza, unapata notice ya error yeyote? haswa na wmp?Haswa VGA na Audio drivers.