Hii youtube nimeipenda ila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii youtube nimeipenda ila

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KIBURUDISHO, Jun 14, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wakuu mambo vp? Kuna hii yotube nimeidownload kwenye simu yangu ya samsung gt 5830i ninaitumia kudownload nyimbo na muvi ila tatizo lake ni kuwa inapodownload haiumalizi kabisa wimbo au inagoma inaandika fail to download this song or retry again wakati huo tatizo linakuwa si salio au mtandao.Kwenu wajuzi wa mambo haya naombeni msaada wenu.Hii nimeipenda kwa sababu haina usumbufu wa kusign up au in ndo udownload wimbo au muvi.
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  kwa nini usijaribu application nyingine tofauti na hiyo unayotumia? Kama ni android os ukiingia kwa play kuna application nyingi. Mbaya zaidi hujaweza kueleza jina la hiyo application pia wengine hufanya uone namna inavyofanya kazi lkn ili uweze kutumia kwa asilimia mia ni lazima kuinunua.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli haujaeleweka, ila tatizo litakuwa kwenye internet connection yako, itakuwa inakata kati kati.
  Pia Google hawaruhusu app za kudownload YouTube kwenye Play store so inabidi uipatie nje ya market. Google TubeMate ila jihadhari na virusi.
   
 4. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ngoja nijaribu mkuu
   
Loading...