Ni KING'AMUZI GANI CHENYE TV STESHENI ZA TZ ZOTE?

Hulbjd

Member
Jan 30, 2012
36
2
WAKUU KWANZA NIWAPENI POLE KWA UCHOVU WA KAZI. WAKUU NINGEPENDA KUELEKEZWA NI KING'AMUZI GANI NINACHOWEZA KUPATA Tv ZOTE ZA KIBONGO kabla sijafanya manunuzi. Tafathalini msaada wenu.
 
Hicho kinaitwa kisimbusi na sio king'amuzi. Kwa sasa hakuna kisimbusi wala sateliti risiva inayoweza kushika chanel zote za bongo. Subiri wakati ufike utariwa bure
 
Hii kitu TCRA wanataka kutufanya tutapeliwe tu,Ni kweli inaweza kutokuwepo Kingamuzi kimoja chenye all TV channels za Tanzania. Czani ITV ambae anazindua Chake September na Star TV ya Mwanza watakubali kushea mapato na wenye Vingamuzi vingine! Serikali inabidi hiingilie kati katika hilo vyenginevyo itakuwa kasheshe pale utakapoitajika kuwa na Vingamuzi 5 tofauti ili uweze pata all Tanzania TV stations. Cpati picha hiyo January 1 2013.
 
kuna kitu tunaita content providers kwa tv ndio hawa wenye tv stations
na service providers ndo kama star times,easy na tin agape au zuku
kwa hivo ni jukumu la TCRA kuhakikisha kuwa service providers wanahost na kutransmit content za tv zote za ndani
ili mwananchi wa kawaida asiathirike pale anapoamua kuchukua kingamuzi chochote kulingana na mahitaji yao
kwa wenzetu mfano Europe kuna CANAL DIGITAL wao wana service aina tatu,tv,internet na simu ktk cable moja.wanatumia fibre cables
kila nyumba inawekewekewa hizo cables. na ni bei nafuu sana.
kulingana na infrastructure yetu bado tunatumia satelites ambayo ni ghali kutransimit
na pia kutakuwa na mgongano wa maslahi ingawa TCRA
wanadai wameshawaagiza service providers kufanya hivo naona itakuwa ngumu sana na bei zitapanda kumuumiza mlaji.
kwa hivo mkuu nadhani ufanye savei kama utachukua zuku,star times au easy as per your needs ila nakushauri kama unajiweza weka easy na star au easy na dstv.
 
Shida zote za nini nunueni risiva za mpeg4 ukiwa na dishi lako mtaendelea kuona chanel zote za bure kama kawaida, achaneni na hivi vingamuz uchwara.
 
Back
Top Bottom