Njia Rahisi ya Kuhack Your Nokia Symbian Phone! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia Rahisi ya Kuhack Your Nokia Symbian Phone!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by callist, Apr 16, 2012.

 1. callist

  callist Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau,niaje? kuna Njia Rahisi Ya Ku hack your Nokia Symbian phone To avoid Certificate Errors Once you hack your phone Utaweza kuingia Signed and Unsigned Apps..So kama Unataka i can help you ni rahisi sana..karibuni wadau..
   
 2. callist

  callist Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nokia,hacking,
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Join Date : 16th April 2012
  Posts : 4
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0
   
 4. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  tupe mautundu basi mkuu
   
 5. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Calist; vp tena mbona unaleta stori yenye mkia bila kichwa? Tupe hayo maujanja, tafadhali sana.
   
 6. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Eti awape mautundu wala hayahui huyo kuhusu kuhach we search utaipata humu humu illishatolewa na shiny c pamoaj e2themiza.
   
 7. rickymj

  rickymj Senior Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mautundu wap jx go to (gohacking.com) u'll get ev thng thea.
   
 8. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkishahack kuna operamini 7.sis s60 3rd and 5th edition symbian application iko modded na 0.facebook.com iko poa kwa sana 2 afu very fast...
   
 9. callist

  callist Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh Samahani washkaj nilikuwa out of Jf but hakijaharibika ki2..kwanza kabisa..download Norton Antivirus Kwa Your Phone unaweza ipata hapa.www.N8FanClub.com then Launch It..nenda option Fungua Anti-Virus - Quarantine list..then -> Click on Restore All to restore 3 files, accept prompt..itakwambia do you need To restore Then click Yes..baada ya hapo . Exit application, delete from App manager (Symantec Symbian Hack)... Baada ya Hapo Sasa Download
  (www.N8FanClub.com) RomPatcherPlus_3.1_ LiteVersion.sisx..and Install baada ya hapo Launch and apply the patch: - Open4all for full access to system folders (private, sys, resource ...)..itakuonyesha Tik ya kijani..Hakikisha hyo RomPatcherPlus..hauifuti then utakuwa Umemaliza Na Utaweza Kuinstall Any App That Compitable with Symbian Iwe Signed or Unsigned.
   
 10. callist

  callist Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 11. callist

  callist Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe Unajua Nini?? embu Acha Roho Mbaya Haya Unayejua Ungewaeleza..Hatupo kimashndano Hapa..Act km mtu mzima!
   
 12. callist

  callist Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahahah Aliye weza Kuhack Kupitia Hyo Website Hapo Naomba Anieleze..Wewe Umeshawah Kuhack?? Au unajua kuhack..unaweza kujua websites bt unaweza usijue jinsi Ya ku2mia Kilichowekwa pale..hata kuweka link hujui.
   
 13. callist

  callist Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ntaipata wapi hyo opera..then tupe link..my phne already hacked
   
 14. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,109
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  wengi wetu nadhani tunatumia simu za nokia ambazo zinaweza kuingiza game na application za symbian ambazo huwa katika format ya .sis na .sisx, well hizi simu huwa zinaruhusu tu kuingiza signed apps and games, kama utataka kuingiza game au application ambayo haijasainiwa mostly itakupa error kama CONSTRAINED BY CERTIFICATE AU EXPIRED CERTIFICATE AU CERTIFICATE UNKNOWN NA kero nyingine kibao, well hili tatizi halitowasumbua tena cha kufanya

  1. nenda hapa ShareMobile - File Info download and install hiii ni zip manager itakusaidia ku extract mafail katika procedure inayofuata

  2 nenda hapa ShareMobile - File Info hili file lidownload kwa kutumia operamini ukishalidownload funga operamini then fungua zip manager then locate hili file ambalo tumelidownload la shinyc2.zip ukilifungua kitu cha kwnza install secman.sis then funga kila kitu halafu open secman minya OK simu itakaa kidogo tena minya ok simu ita zima na kuwaka kama haitafanya hivi zima na kuwasha mwenyewe
  simu ukiwaka nenda kabadilishe tarehe iwe mwaka 2009 kisha ingia zip manager fungua shinyc2.zip kisha fungua na install y browser.sis kumbuka ukiinstall hii application haitokuwa kwenye default folder ya application bali itakuwa kwenye folder ukiingia menu limeandikwa Drjukka USIIFUNGUE Y BROWSER
  Igia tena y browser install dragon.sisx itainstall application 4 lakini ya maana ni hellocabirde wAkati wa kuinstall kama simu yako ni fp1 au fp2 toa x kwenye pre fp1 kama simu yako ni pre fp1 toa x kwenye fp1 and fp2 phones LIST HII HAPA

  Pre-FP1 devices:
  -------------------
  Nokia N77
  Nokia E61i
  Nokia E65
  Nokia N93i
  Nokia N91 8GB
  Nokia E62
  Nokia E50
  Nokia 5500
  Nokia N93
  Nokia N73
  Nokia N80
  Nokia N71
  Nokia N92
  Nokia E70
  Nokia E60
  Nokia E61
  Nokia 3250

  FP1 devices:
  ---------------
  Nokia 6124 classic
  Nokia N82
  Nokia N95-3 NAM
  Nokia E51
  Nokia N95 8GB
  Nokia N81
  Nokia N81 8GB
  Nokia 6121 classic
  Nokia 6120 classic
  Nokia 5700 XpressMusic
  Nokia 6110 Navigator
  Nokia E90 Communicator
  Nokia N76
  Nokia 6290
  Nokia N95

  FP2 devices
  -------------
  Nokia 5320 XpressMusic
  Nokia N78
  Nokia N96
  Nokia 6210 Navigator
  Nokia 6220 classic

  sasa basi ingia tena zip manager then shinyc2.zip kama kawaida minya options kwene installserver.exe then ckick extract chagua phone memory ythen save kwenye images kuhakikisha kama imextract fungua file manager nenda phone memory ingia images utakuta folder limeandikwa hack humu ndimo hilo file lilipo kumbuka sana hii stage

  sasa fungua y browser ingia C; ingia DATA ingia IMAGES ingia HACK utaona file limeandikwa installserver.exe minya OPTIONS nenda EDIT minya COPY haya minya BACK hadi pale kwenye sehemu tuliyoanzia iliyoandokwa C;
  minimize y-browser bila kuifinga yaani minya button ya menu sasa fungua application ya HELLO CABIRDE minya OPTION minya MENU1 bofya YES haya tena rudi kwenye y browser ambayo haijafungwa ingia C; then ingia SYS ingia BIN minya OPTION nenda EDIT minya PASTE minya YES haya exit ENJOYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY SASA WAWEZA INSTALL APPLICATION KARIBU ZOTE NTAZIPOST KESHO
   
 15. mgeni3

  mgeni3 JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  1st of all tengeneza setting zifuatazo
  ...name andika lolote unalotaka
  ...access point andika internet,
  ...afu proxy 2mia 80.239.242.253
  port-80

  kwa s60v5 download hii www.datafilehost.com/download-016ecf15.html

  kwa s60v2 download www.datafilehost.com/download-bb4be582.html


  kwa s60v3 download www.datafilehost.com/download-18940fc2.html hzo ziko modded na 0.facebook.com tayari enjoy
   
 16. rickymj

  rickymj Senior Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hahaha hy kaka kwka link ickupe matatizo,imm full ov them brah
   
 17. faszar

  faszar Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nokia 5230 inakubali hii process?
   
Loading...