Touch screen ya simu ya htc chacha imegoma gafla

Micro E coli

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
938
192
Wakuu wasaalamu nina simu ya htc chacha touch screen yake imegoma gafla ingawa keypad zake zinafanyakazi kama kawaida mwenye ujuzi na haya mambo anipe maelekezo ni tatue tatizo au anielekeze fundi mwenye weledi na haya mambo.
 
Back
Top Bottom