Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu naomba kuuliza. Hivi sasa hivi pale mlimani city bei za ipad zimefika kiasi gani. Mimi nipo mbali kidogo. Napenda kujuwa ili nijiandae.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau kwa siku za hivi karibuni hizi modem za Vodafone k3770 na 3771 kwa kweli hazikubali kuistall kwwenye window x au vista zinaleta hii message(picha chini). hivi tatizo ni nini wadau...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
laptop inazima ghafla halafu ina restart na kuonesha kwenye screen WINDOW RECOVERED FROM UNEXPECTED SHUTDOWN.
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Habari zenu guyz, naombeni mnisaidie tatizo langu kwenye desktop,Hishu ni kwamba siwezi ku login ninapoiwasha inatokea blue screen na maandishi yanayosomeka STOP: c000021a fatal system error.The...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Amani kwenu wadau, natumai mpoa wazima.. natafta printer ambayo inaweza kuprint directly on tshirts. kwa yeyote mwenye information wap naweza nikapata tafadhali naomba msaada! thanks.
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Toka nime instal windows 7 kwenye computer yangu naona webcome haifanyi kazi., nimejaribu ku download lakini bado tatizo lipo pale pale......... Naomba msaada wakuu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Amazing Photo Captures 84 Million Stars in Our Milky Way GalaxyBy SPACE.com Staff | SPACE.com – 17 hrs ago Enlarge GalleryThis very wide-field view of the Milky Way shows the extent of the...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Nahijaji kununua simu yenye internet ya faster!! lakin sijajua ni aina gani ya simu iko vizuri pamoja na bei yake. help
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jaman mi sijui simu za iphone naombeni mnioneshe japo picha yake sambamba na sifa zake.
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari, nina tatizo moja nimenunua cmu aina ya samsung galaxy s2 lakini nikaja kugundua ni ya china, ila nilivyotuma IMEI namba nimepata msg ya ku verify kama ni original, sasa tatizo ni kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamii habari za leo! Nina tatizo kuhusu hawa jamaa wanaojiita "A&A computers" wanahusika na uuzaji wa computer na utengenezaji wa vifaa mbalimbali kama photocopier,computer na vingine...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni copy na paste kutoka kwa mtu, nimejaribu leo, nimesave a lot of time for my literature review writing, wish ningejua hii kitu mapema! Don’t worry though, help is most certainly at hand...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huwa nikifungua baadhi ya files katika computer yangu nakuta sehemu ya kwanza ya jina la file imefutika na badala yake jina linaanza na alama ~ halafu ndipo sehemu iliyosalia ya jina inafuata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Za hapa wana jf ninahitaji line ya tigo pesa na airtel money mwenye nayo msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu key za Tuneup Utilities 2012 inakataa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau nlikua naomben yeyote mwenye proxy yenye speed anisaidie maana uswebproxy haikubal
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Wadau habari zenu,naomba msaada wa jinsi ya kutuma files from iphone4 to nokia phone natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Fresh Windows, but Where’s the Start Button?By NICK WINGFIELD | New York Times – 23 hours ago Associated Press - FILE - In this Thursday, Aug. 23, 2012, file photo, the new Microsoft logo...
0 Reactions
4 Replies
967 Views
Mtandao wa tiGO haupatikani Morogoro mjini? Ni nini mbaya?
0 Reactions
1 Replies
892 Views
je naweza badilisha RAM na GPU shader ya laptop?? tuseme kama nina ram 2gb nikaweka ya 5gb? itanikost sh. ngapi kwa makadirio(yaani kununua ram) na je gharama inaweza kuwa kubwa kulinganisha na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom